Tujikumbushe Maproducer wakali wa zamani

Chivundu

Platinum Member
Joined
Dec 17, 2012
Posts
9,666
Reaction score
13,444
Mziki wa Hip hop, Rap na Bongofleva ulianza kunajisiwa around 2004 na kupoteza kabisa ladha ya ubunifu, vionjo, burudani na elimu kwa jamii.

Aidha wapo waimbaji wa enzi hizo na wapo watayarishaji wa muziki (Producers) ambao ndio wameufikisha hapa muziki wetu.

Wafuatao ni watayarishaji mahiri wa muziki waliopata kutokea Bongo hii;

1. P. Funky Majani wa Bongo records:
Kawainua wasanii wengi, Nature, Afande Sele, Profesa Jay, Mangwair n.k.

2. Master Jay:
Huyu jamaa hatasahaulika katika kuibua vipaji na kuifikisha muziki hapa ulipo.

3. Mika Mwamba:
Jamaa alikuwa ni mtayarishaji aliemuumiza P. Funk 'Majani' kichwa. Baada ya longolongo za Clouds jamaa alisepa zake ulaya mpaka leo. Ngoma ya Balozi "wengi walikwepo", Salome ya Dully na nyingine nyingi zina ubunifu mkubwa.

4. Roy wa G-records (R.I.P):
Jamaa alikuwa anajua sana.

5. Henrico

6. Said Comorie (vinanda)

List hiyo ruksa kuiendeleza wengine wengi nimewasahau ila hawa wameifanyia kitu tasnia ya muziki huu.
 
Hivi Producer Q yuko wapi? dunga wa mandugu digital pia hasikiki sasa hivi
 
Bonny Luv- Mawingu Studio.
Amit Mento- Agies Record
Miika Mwamba- Fm Studio
Roy Bukuku - G Records.
Akili The Brain- Akili Records
P. Funk Majani- Bongo Records
Master Jay- Mj Records
Joshua Kameta - Kameta Studio
Said Comorien- Metro Studio
Enrico - Soundcrafters

Lakini kuna maproducers walipita katika studio hizi katika vipindi tofauti kama Marlon Linje, Marijani,Prof. Ludigo, Castro Ponela, na John Mahundi. Pia kuna wanamuziki walijaribu kuproduce kwa kipindi flani kama Marehemu Complex,Bodea na Soggy Dog Hunter.

Ila kuna Kizazi cha mwisho cha maproducer kabla hawajawa wengi kama mchele na studio kuongezeka kama bar za Sinza.... Hawa ni kama
Marco Chali wa Kama kawa Records. Dunga, producer Jonas (ukisikiliza ngoma za wakali kwanza utamsikia anatajwa), Downtown Records, Pasu kwa Pasu Records, na Active Record ya Producers Shakii toka kenya.

Hizo zote ilikuwa kabla ya 2008... Enzi hizi kila msanii lazima uje Dar ufuate studio nzuri....labda uende Zanzibar kulikuwa na Jupiter Records na Chuchu na studio yake ya Heartbeats Records.
 
vuvunduli

Babuu, huyo wa kuitwa Amit Mento alitengeneza Vituko Uswahilini ya my man Suma G kutoka hot pot family yani kama sikosei.

"Nlikuwepo":bolt:
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli vituko vya uswahilini original na remix aliyomshirikisha Inspekta Haroun,ndiye alimyemtoa pia Mez B na ngoma ya kwanza iliitwa Fikiria, alitengeneza ngoma nyingi.za TID- kwakweli nakupenda Mpenzi, siamini,nk pia ngoma ya Ray C uko.wapi nadhani... na Kuna nyimbo kama mambo safi ya Marehemu Complex,Big Dog Pose BDP majobless,na kumwambia hizo chache nazikumbuka pia!
 
Bonny Luv- Mawingu Studio.
Amit Mento- Agies Record
Miika Mwamba- Fm Studio
Roy Bukuku - G Records.
Akili The Brain- Akili Records
P. Funk Majani- Bongo Records
Master Jay- Mj Records
Joshua Kameta - Kameta Studio
Said Comorien- Metro Studio
Enrico - Soundcrafters

Lakini kuna maproducers walipita katika studio hizi katika vipindi tofauti kama Marlon Linje, Marijani,Prof. Ludigo, Castro Ponela, na John Mahundi. Pia kuna wanamuziki walijaribu kuproduce kwa kipindi flani kama Marehemu Complex,Bodea na Soggy Dog Hunter.

Ila kuna Kizazi cha mwisho cha maproducer kabla hawajawa wengi kama mchele na studio kuongezeka kama bar za Sinza.... Hawa ni kama
Marco Chali wa Kama kawa Records. Dunga, producer Jonas (ukisikiliza ngoma za wakali kwanza utamsikia anatajwa), Downtown Records, Pasu kwa Pasu Records, na Active Record ya Producers Shakii toka kenya.

Hizo zote ilikuwa kabla ya 2008... Enzi hizi kila msanii lazima uje Dar ufuate studio nzuri....labda uende Zanzibar kulikuwa na Jupiter Records na Chuchu na studio yake ya Heartbeats Records.

Umemaliza mkuu, hivi wakina Sugu walikuwa wanapikiwa na nani enzi hizo? How abt Kwanza Unit na The Diplomatz?
 
Bonny Luv- Mawingu Studio.
Amit Mento- Agies Record
Miika Mwamba- Fm Studio
Roy Bukuku - G Records.
Akili The Brain- Akili Records
P. Funk Majani- Bongo Records
Master Jay- Mj Records
Joshua Kameta - Kameta Studio
Said Comorien- Metro Studio
Enrico - Soundcrafters

Lakini kuna maproducers walipita katika studio hizi katika vipindi tofauti kama Marlon Linje, Marijani,Prof. Ludigo, Castro Ponela, na John Mahundi. Pia kuna wanamuziki walijaribu kuproduce kwa kipindi flani kama Marehemu Complex,Bodea na Soggy Dog Hunter.

Ila kuna Kizazi cha mwisho cha maproducer kabla hawajawa wengi kama mchele na studio kuongezeka kama bar za Sinza.... Hawa ni kama
Marco Chali wa Kama kawa Records. Dunga, producer Jonas (ukisikiliza ngoma za wakali kwanza utamsikia anatajwa), Downtown Records, Pasu kwa Pasu Records, na Active Record ya Producers Shakii toka kenya.

Hizo zote ilikuwa kabla ya 2008... Enzi hizi kila msanii lazima uje Dar ufuate studio nzuri....labda uende Zanzibar kulikuwa na Jupiter Records na Chuchu na studio yake ya Heartbeats Records.

Unakumbukumbu nzuri
Sahihisho kidogo ni Ephraim na sio Joshua Kameta.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom