Huyu jamaa watu tumeamua kufukua makaburi yake yote ya nyuma! Leo acha tuanze na hili tukio ambalo binafsi liliniacha mdomo wazi baada ya Makonda alipokata kuomba msamaha kwa Clouds baada ya tukio la kuvamia Media hiyo! Tena alikataa mbele ya Marehemu Ruge
Hii ilikuwa ni Aug 9, 2017 katika mkutano na waandishi wa habari na Wahariri uliitwa na TEF
===========