Amani Simba
Alikuwa kipa wa Timu gani huyu?maana najua huyu jamaa ni Kiungo mshambuliaji kwao pale Buguruni MalapaKipanya Malapa.
Nilimaanisha Speer Mbwembwe....dah uzee huu nao.Alikuwa kipa wa Timu gani huyu?maana najua huyu jamaa ni Kiungo mshambuliaji kwao pale Buguruni Malapa
Manyika Peter Sr.kuna yule junior wa simba ambae baba yake alicheza yanga
Manyika Peter Sr.
Amani Simba, shaban Dihile, Ally mustafa barthez1 Ivo mapunda
2 Mengi Matunda
3 Noel Joel pompi
4 Mohamed Said Nduda
5 Benjamin Haule
6Deogratius Munis
7 Shaban.Dihile
8 Shaban Kado
9 Andrew Ntalla
10 Hussen Sharif
Etc
Amani SimbaAnayemjua amtaje jinaView attachment 1203603
Huyu alikuwa best kwenye kikapuAlikuwa Mzanzibari huyu jamaa...
Hapana sio Marehemu David Burhan, huyo ni golikipa Amani Simba maarufu sana kwa kuuza mechiSio David Burhan
Hivi kumbe ni mkazi wa Malapa?Alikuwa kipa wa Timu gani huyu?maana najua huyu jamaa ni Kiungo mshambuliaji kwao pale Buguruni Malapa
YeesssssssssssHivi kumbe ni mkazi wa Malapa?
hahaaa huwa wenzake wanamuita dukaHapana sio Marehemu David Burhan, huyo ni golikipa Amani Simba maarufu sana kwa kuuza mechi