duh, nimekumbuka kina Blanka Shao, Moikan, Kimaro na yule wa konyagi pale kwa Loning'o (Johnson) alikuwa anafundisha kiswahili miaka ya mwisho ya 80, nimemsahau jina (is it Kimasiha??)....
Kuna mzee wa Mh, ndio bwana mzee (RIP, Juma) etc.....
Duh kweli imekuwa zamani...
Mkandawile toka 2006 kafungua Bonge la shule yake mitaa ya Pugu huko jamaa katoka vibaya sana....Pugu boys wazee wa fungus!maana mkandawile alikuwa anawaita fungusboy!
Hivi mkandawile yupo wapi?
hongereni sana wana ilboru maana sifa nyingi nimezipitaia na kuziona big up wote mliosoma hapo kwa enzi hizo mlikuwa kweli vipanga big up sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
yah tena wanakunya-kunya kwenye public, kama avatar yakolakini kiboko yao ilikuwa na itaendelea kuwa Mzumbe
Unakumbuka mikate ya "sunkista" pale kwa Loning'o? hv mama tonii bado anapika pilau kule chini? nasikia Shembilu alivuta je ni kweli? Kishuu na Geree bado wapo?
Mwanzoni mwa miaka ya tisini... enzi za medukenya na yule mchanga aliyekuja kumpokea vijiti Bino
Naskia yule mchagga watu walimtandika na kumvamia nyumbani kwa kuzidi unoko
Mzee naomba ni PM.... waweza kuwa class mate ati...
Ng'ande---makande
basi la shule[katara]----na watu vichwa wakawa wanaitwa "katara"
kwa mama benii---wazee wakijisogeza kupata fegi
pichi---sehemu ya kusukumia kabumbu
kula kuku---kulala usingizi
mtego----video ya shule[ukiangalia video maana yake umetegeka]
john----mpishi mkuu
Nilikuwa napenda sana biti za Chief.Kitemango naye yupo wapi siku hizi?
Kumbe unaweza ukawa umesoma high school kama Rejao ikawa hasara tupu? Jamani Rejao badilika humu jamvini acha kuandika kama unafikiri kwa masaburi.