Tujikumbushe hoja za T. Lissu bungeni

WAZO2010

JF-Expert Member
Feb 19, 2021
1,610
3,738
Wakuu binafsi naamini ule mradi wa CCM wa kununua Zitto, Dkt Mashinji, Waitara, Nasari, Ryoba, wabunge wengi, madiwani, na Covid-19 ni bora hizo pesa CCM ingetumia kumnunua Mtu mmoja tu kutoka CHADEMA kwa maslahi ya Taifa letu, nae ni Tundu Antiphas Lissu.

Huyu wakili ni born genius naturally. Speech zake Bungeni zimei-prove wrong hii serikali ya CCM ikiwa T. Lissu akiwa bado yupo Hai. Speech zake zinaishi. Hii Proffesorio rubbish ya Osoro (Trillion 360 za Madini Barrick). Imebuma haraka sana, proved by Dkt. Mwigulu Nchemba.

Nashauri serikali kumtumia vizuri huyu kijana. Tanzania hakuna wakili wa kumsogelea T. Lissu. Tumheshimu, tumpende na tumtumie kwa maslahi ya Tanzania

Wenye clip za speech zake, please tupieni.
 
Lissu ni tebe tupu
Nilitegemea comment kama hii. Moja ya mambo yanayoisumbua nchi hii na nchi nyingi za Kiafrika, ni kushindwa ku tape/kuvuna brains au watu genius for their development. Yaani sisi chawa, mfitini na mchonganishi ndiye anaonekana bora na hata kupewa madaraka. Ulaya na kwingineko ma genius/watu wenye akili na vipaji vya kipekee wanaweza kupewa mpaka Uraia. Kuna watu nchi hii kama wangetumika vizuri, bila kujali itikadi au mitazamo yao, nchi ingekuwa mbali sanaaaaa.
 
Kwahiyo lissu ni jinias

Yule ni mwanaharakati tena mwanaharakati asiyekuwa stategy amebarikiwa kuropoka tu but he is nothing
Tz T. Lissu hawezi kosa top 100 ya Practical genius. Siyo hao Tanzania one Form 6 na GPA za 4.9 za akina Kabudi but they Do/argue shit in the Field.
 
Kikwete hakua mjinga aliposema ikungi kura zooooote za urais mpeni Dr slaa harafu za ubunge mnyimeni lisu mpe wa ccm

Mziki wake anaujua vizurisana
 
Back
Top Bottom