Tujikumbushe formular mbali mbali za hesabu

Tujikumbushe formular mbali mbali za hesabu

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
13,985
Reaction score
25,198
Hapa najua wengi mtachemka sana tena sanaa tu.

Tujikumbushe formular (Kanuni) mbali mbali za hesabu iwe za shule ya msingi,sekondary au Advance?


Mimi ninayoikumbuka ni hii tu


a² + b ² = C².

...
 
Hapa najua wengi mtachemka sana tena sanaa tu.

Tujikumbushe formular (Kanuni) mbali mbali za hesabu iwe za shule ya msingi,sekondary au Advance?


Mimi ninayoikumbuka ni hii tu


a² + b ²= C².

...
Inaitwaje hiyo alafu itakuwa vizuri ukiiderive
 
Nakumbuka kwamba
a2 + b2 umaamisha a^2 + b^2.
Kama formula haiwezi kurahishiswa zaid tunaiandika hivi (a + b)^2 - 2ab au (a - b)^2 + 2ab. ... ni kama ukiulizwa formula ya a2+b2


pia nakumbuka remote sensing formula nilikuwa hatari najikubali

Remote Sensing (hapa ni kwetu wasomi, wa zamani bila scientific calculators, shule ilikuwa tamu)
Kuna fomula na equation mbili
1 - Rrs equation ya Mobley, (1999) ni
Rrs(λ) = Lu(λ) - ρLsky(λ) / Ed(λ)
2 - hii fomula ya Rrs iko katika vitabu vya Dorji vya. (2016 na 2017) ambayo ni
Rrs(λ) = Lu(λ) x ρLsky(λ) / Ed(λ)
yaan nakumbuka watu walivyowahiangaya kwa alama hizi Lu(λ) na ρLsky(λ) walijiuliza hivi zinajumlishwa au zinazidishwa? hii ni kwa sababu.kwenye chapisho la Mobley la 1999 hii ρLsky(λ)hutolewa (-) kutoka Lu(λ), kama inavyoonekana Rrs(λ)= [Lu(λ) - ρLsky(λ) / Ed(λ)]
 
Back
Top Bottom