Tujikumbushe enzi za inde monii!

lol

Kuna siku watu humu ndani mtaweka picha za wazazi wenu enzi hizo bila kujijua,

anyway
 
ha hahaaaaaaaaaa uwiiiiiiiiiii
 
Ulongo mtupu. Hii picha niya sasa na si ya enzi hizo.
 
enzi za wapi mbona mavazi hayaendani na mda huo?
 
Ulongo mtupu. Hii picha niya sasa na si ya enzi hizo.

siyo enzi hizo, ni zile enzi za inde monii a.k.a ndombolo ya solo siku hizi hazina mvuto tena kama sebene/twanga/mugongo n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…