Duh..! Aisee...! Umenkumbusha nlipokuwa std7 nlitokea kusumbuliwa na mdada mmoja. Kiukwel alinsumbua. Nlijitahd kumtaftia kizizi bila mafanikio. Nlinunua dawa za aina tofauti-tofaut lakn hapakua na mafanikio baadhi ya dawa hizo zilikuwa kama hivi: kunadawa fulan ilikuwa ya kuweka kwenye ndoo maji yakuoga af unaoga nyngne naichanganya kwenye mafuta afu najpaka lakn haikuzaa matunda, nkapata nyingne ya kuitega njian akiwa anapita akiiruka au kuikanyagatu tayar kunakucha lakn holaa, nkapata nyingne ya kuichoma kwenye kibatari usiku ukiwa unaongea maneno flan ya kumuita ili aje usiku huo' wakati hata nnapoishi alikua hapafaham, nkapata nyngne ya kuchanganya na mchanga wa nyayo za miguu yake lakn bila, nyngne ya kumgusa kwa malengo kuwa atanfuata kila nnapoenda lakn hoi, nyngne nkapata ambayo ilisemekana kuwa n babkubwa ya kuweka kwenye ulimi af ukaongee nae ukiwa hujaongea na mwngne yeyote lakn hoi...! Duuuuh