big-diamond
JF-Expert Member
- May 23, 2009
- 425
- 559
Wakuu.
Nakumbuka hapo zamani wakati wa utoto, tulikuwa na imani aka kasumba kuwa ukimtaka mshichana flani basi unaenda kutafuta dawa flan kama ni porini au kutafuta ndege flan unamuandaa af unamgusa msichana flan kwa imani atakufata.
Basi wakati nipo darasa la nne kuna mdada alikuwa ananitesa sana mutima wangu, basi ikabidi niwape ripoti rafiki zangu, jamaa wakaniambia aah mbona iyo ishu ndogo tu, tafuta majivu ya mbayuwayu jipake usoni af ukamguse demu, hachomoki, yan unang'oa kama mh Temba kiulain, basi mtoto wa watu nikahangaika but hola, nikaishia kupigwa kibuti cha bwana misosi.
Sasa leo kuna jamaa alikuwa ananikumbushia hizo story nikacheka sana, nikakumbuka na zile dawa nyingine kama gusa unate ya minyaa, na ile ya mkia wa ndege fulani wa kuchomeka pale msichana alipokojoa.
Nimecheka sana kwakweli
Hebu na wewe tupe oldies zako hapa'
CC Mama Ghati