Kim Jong Un
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 497
- 269
ebu jaribu sasa hivi mkuuPicha hazifunguki
kwa watu walio makini barua hii ilikuwa inatosha kuanzisha uchunguzi muhimu na wa kinaMbona serikali ipo kimya !
hicho ndo kinachosikitisha raia wanajitolea kutoa taarifa ila serikali haifanyiii kazin swala hiliPadre John anayehisika kuwahudumia hawa wafungwa, pamoja na juhudi zake za kuweka barua hizi kwenye mtandao wake, lakini pia alifika physically bongo kutembelea baadhi ya familia za wafungwa husika! Je, mamlaka husika zilichukua hatua gani? Je, vyombo makini vya habari vilimpa coverage kiasi gani?
maoni yanaweza kupelekea kuanzishwa kwa uchunguzi wa kina juu ya hawa watu kama kweli kulikuwa na nia ya dhati ya kupambana na madawa ya kulevyaHaya ni maoni tu ya mwandishi wa hiyo barua, anasema anachokiamini. hajataja chochote kinachoweza kusaidia uchunguzi, au kutoa ushahidi wowote
nashukuru magufuli kaifanyia kazi na kuitendea haki barua hiiHuyo namba iii tayari tunae, wiki iliyopita tumeshamchukua mwenzie Kanyauu
yes hawa ndo wa ukweliHii barua ndio ina majina ya kweli ya drug dealer nchini