Maisha ya Uswahilini yana mambo, ukiwa kwenye nyumba za kupanga, unamuona jamaa kashikilia kikopo kidogo kikiwa na maji anaelekea Toilet. Unajiuliza hayo maji kwenye kikopo kidogo kinatosha kujisafisha na kufrash toilet baada ya kukata gogo?
Umewahi kuona hii?
Swadakta mkuu MO11 tuongeze spidi si unajua mzigo haulali.....baadae tumpitie miss chagga na Mafikizolo tukatumie pale kwa macheni.........au vipi mkuu wa kazi..........asilimia kubwa ya watanzani ni masikini na kipato cha kawaida
mpaka leo najiuliza kwanini watu wengi humu wana maisha mazuri
nipo hapa na KikulachoChako tunabeba zege kidogo
Swadakta mkuu MO11 tuongeze spidi si unajua mzigo haulali.....baadae tumpitie miss chagga na Mafikizolo tukatumie pale kwa macheni.........au vipi mkuu wa kazi..........
Swadakta mkuu MO11 tuongeze spidi si unajua mzigo haulali.....baadae tumpitie miss chagga na Mafikizolo tukatumie pale kwa macheni.........au vipi mkuu wa kazi..........