MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,198
- 43,732
Salama JF,
Ninaandika uzi huu nikiwa na masikitiko kwa ndugu zetu waliokosa maarifa na kuzidi kuangamizwa na haya mashetani. Watumishi hawa wamekuwa matapeli kiasi cha kusababisha umaskini kwa familia nyingi pamoja na ndoa kibao kuvunjika. Wanawake wengi ndo wahanga wakuu wa hili tatizo. Nakaribisha maoni yenu jinsi ya kupambana na hawa manabii feki.[/QUOTwanawake gani bhanaa mmezidi kutusakama aghrrrrrrrrrrrr
post gani ndugu......Post yako Mods wanaifanyia kazi....@flora msoffe
Post uliyom quote diranqhe imekuwa hidden..post gani ndugu......
hiden wakati nimeuliza kwanini anasima sisi wni wahanga kwani huoni hapo juu mi naiona sijafanya lolote baya nimehoji kwanini anasema sisi ni wahanga mmezidi kutuskama hao mod wana lao jambo khaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaPost uliyom quote diranqhe imekuwa hidden..
aisee nimebahatika kuwafahamu kama hawa manabii 10 kwa karibu
wanzinzi balaa kuna waganda wawili na wana ndugu yao mmoja wanahubiri dini ila nyuma ya pazia ni balaa asubuhi flora mchana mwanahawa jion zuhura mmmh na komanya marehemu mmmh na wengine weeengi i realy hate hayo makanisa ya kiroho na pia wengine wanatumia ndumba ili wapate sadaka
.......
ahahahaha mimi hata kwa mttutu siombewi na hawa majamaa magumashi tupuKuna mmoja mwanamke anaitwa apostle marry. Yeye na mumewe wote manabii.
Wew unajitambuaahahahaha mimi hata kwa mttutu siombewi na hawa majamaa magumashi tupu
sitaki kabisaa kwakweliWew unajitambua
Nafikiri walikuingiza mkenge kwanza, hawa jamaa wako smart sana na lengo ni grap pesa za wajinga. Mara oooh unajambo zito unatakiwa kutoa lak kadhaa uombewe, mara panda mbegu, mara komboa ardhi...sitaki kabisaa kwakweli
Nafikiri walikuingiza mkenge kwanza, hawa jamaa wako smart sana na lengo ni grap pesa za wajinga. Mara oooh unajambo zito unatakiwa kutoa lak kadhaa uombewe, mara panda mbegu, mara komboa ardhi...