Tujihadhari na makampuni ya kitapeli, ewe mtanzania usidanganyike

Tujihadhari na makampuni ya kitapeli, ewe mtanzania usidanganyike

Nadhani bitcoin ni sarafu ya mtandaoni inayo tumika kufanya transactions mbalimbali duniani.
Kama nchi kama russia wamei-recognize bitcoin kama moja ya means ya kufanya exchange mswahili huna haki ya kuiita ni utapeli.
Kwanini ujifanye expert kwenye mambo usiyo kua na ufahamu nayo.
Ukirudi kwenye forex nayo sio fraudulent kama unavyo taka kutuaminisha hapa....
Ni kama vile mavi.yana majina mengi kama kinyesi, n.k but its all mavi ..kwaio utapeli una njia nyingi tu so at the end we term all ni utapeli
 
Km hujafny resrarch ya kutosha bx kaa kmy bitcoin na forex kapitie upya
 
Ni kweli kabisa mkuu hawo jamaa matapeli wanawatumia vijana kuuza bidhaa zao. Wanawadanganya vijana mjini kuwa wanatoa ajira kwa watu katika ofisi zao mbalimbali.. Wanawadanganya kama baada ya kukuona utendaji wako wa kazi kwa One week wanakuajiri kumbe matapeli. Wanachokifanya wao ni kutafuta watu wa kuuza bidhaa basi tena ni wakwepa kodi wakubwa hawa...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom