Tujihadhari na makampuni ya kitapeli, ewe mtanzania usidanganyike

BilioneaPATIGOO

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2012
Posts
12,320
Reaction score
11,345
Narudia kusema tena ewe mtanzania usidanganyike, pesa yako bora uwekeze kwenye kilimo au kama hujui jinsi ya kuitumia au pa kuwekeza bora uiweke kwenye fixed account au just savings account halafu ukae utafakari wapi ambapo ni pa kihalali na salama pa kuinvest, usiwape matapeli hawa hela yako,,,dont say you havent been warned.

》 bitcoin
》 Q net
》 global alliance
》 vortex profits
》 one coin
》 AIM
》 Forex Trading

Bila kusahau kampuni za kitapeli za kumarket bidhaa feki ambazo hakuna mamlaka duniani imewahi kudhibitisha ukweli wa madai ya manufaa ya bidhaa hizo kama
》 forever living
》 gnld
》 edmark
》 oriflame
》 trevo

Bila kusahau makampuni ya bahati nasibu, mnajua....sina haja ya kuyataja
 
Poa poa mkuu.

Da Mange ndio aliishia hapo?
 
dalili za uchumi unaoyumba ambao uzalishaji kwenye sekta muhimu za kiuchumi, manufacturing, agriculture, service sector, etc unayumba ni wimbi kubwa la makampuni ya kamari. Can someone precisely say we are heading there as a nation?
 
Narudia kusema tena ewe mtanzania usidanganyike, pesa yako bora uwekeze kwenye kilimo au kama hujui jinsi ya kuitumia au pa kuwekeza bora uiweke kwenye fixed account au just savings account halafu ukae utafakari wapi ambapo ni pa kihalali na salama pa kuinvest, usiwape matapeli hawa hela yako,,,dont say you havent been warned.

》 bitcoin
》 Q net
》 global alliance
》 vortex profits
》 one coin
》 AIM
》 Forex Trading

Bila kusahau kampuni za kitapeli za kumarket bidhaa feki ambazo hakuna mamlaka duniani imewahi kudhibitisha ukweli wa madai ya manufaa ya bidhaa hizo kama
》 forever living
》 gnld
》 edmark
》 oriflame
》 trevo
))RIFARO

Bila kusahau makampuni ya bahati nasibu, mnajua....sina haja ya kuyataja
Well said
 
Nadhani bitcoin ni sarafu ya mtandaoni inayo tumika kufanya transactions mbalimbali duniani.
Kama nchi kama russia wamei-recognize bitcoin kama moja ya means ya kufanya exchange mswahili huna haki ya kuiita ni utapeli.
Kwanini ujifanye expert kwenye mambo usiyo kua na ufahamu nayo.
Ukirudi kwenye forex nayo sio fraudulent kama unavyo taka kutuaminisha hapa....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom