DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,319
- 83,197
Swali zuri kabisa.
Lakini yeye mwenyewe anafikiri mada yake inakidhi mahitaji ya propaganda potofu anayoieneza.
Hata hana mfano mmoja wa upande wa pili wa mada yake?
Ni nchi ngapi zimekombolewa toka kwa viongozi dhalimu, waovu kama Samia na kuendelea kuwa nchi za kutolewa mfano?
MAZUNGUMZO, ndiyo yaliyoondoa utawala wa Hitler na waovu wengine duniani?
Kwanza upotofu wako ni kudhani kuna CCM, kama chama. Huo ni udanganyifu ulio wazi.Kuitoa CCM sio jambo jepesi Kama unavyofikiria .
Nadhani ile 29/10 umejionea mwenyewe .
Lazima uwe na mikakati na haya maneno yenu mnayokuwa mnaandika kufarijiana.
Ile 29/10 inakupa picha kamili kuwa kelele , maandamano n.k bado ni njia dhaifu na duni.
Sisi tutatumia mazungumzo na nyie tumieni maandamano.
Wanaitwa wana-mtandao,Kwanza upotofu wako ni kudhani kuna CCM, kama chama. Huo ni udanganyifu ulio wazi.
Pangekuwa na CCM, Samia asingekuwa alipo sasa hivi. Kwa hiyo huo ni upotoshaji mnaoufanya kwa maksudi kabisa.
Kilichopo sasa hivi ni kundi la watu waovu kabisa, wachache sana wanaotumia jina la hicho chama; kundi lililoteka vyombo vya usalama kutumia mitutu ya bunduki kulinda maslahi yao.
Sasa wewe unajuawaje kuwa waTanzania hawana mikakati; na badala yake mnataka wakubali matakwa ya hao wanaowatuma kuja humu kueneza upotofu ili kulinda uovu.
Lugha hii hii, ndiyo mnadhani itawalinda nyie.Nyie mnaandika Ila hamuingii Field kupambana .
Mnafikiri CCM itatoka madarakani kwa maneno matupu ?
Unapopambana na CCM ujue unapambana naKwanza upotofu wako ni kudhani kuna CCM, kama chama. Huo ni udanganyifu ulio wazi.
Pangekuwa na CCM, Samia asingekuwa alipo sasa hivi. Kwa hiyo huo ni upotoshaji mnaoufanya kwa maksudi kabisa.
Kilichopo sasa hivi ni kundi la watu waovu kabisa, wachache sana wanaotumia jina la hicho chama; kundi lililoteka vyombo vya usalama kutumia mitutu ya bunduki kulinda maslahi yao.
Sasa wewe unajuawaje kuwa waTanzania hawana mikakati; na badala yake mnataka wakubali matakwa ya hao wanaowatuma kuja humu kueneza upotofu ili kulinda uovu.
Kum@ LA mamako , ccm na mbwa koko wala makombo Kama wewe lazima mfutwe kwenye USO wa dunia ,worthless creatures ,mbwa takataka.......Ccm ni kikundi cha kigaidi na maharamia wauaji waliojipachika madarakani bila ridhaa ya wananchi
View attachment 3515158
My people,
15 - February -2011
Benghazi, Libya
Ghasia zilianza rasmi baada ya Utawala wa Muammar Gaddafi kumkamata mwanasheria anayejulikana kwa jina la Fathi Terbil ambaye alikuwa mtetezi wa haki za binadamu
Baada ya wananchi kujua hilo tukio walikasirishwa sana,na hapo ndipo Maandamano rasmi yalianza viunga vyote vya Libya
Baadae Serikali ilitumia nguvu kubwa kwa kuwapiga risasi waandamanaji,baadae wandamanaji nao wakapora silaha na kuunda vikundi wa uasi dhidi ya Serikali
Kutoka maandamano ikaja kuwa vita ya wenyewe kwa wenyewe, nchi yote ikachafuka hatimaye NATO ikaingilia kati na kufunga anga na kuanza kuwapiga au kuwashambulia askari au wanajeshi wa jeshi la libya,mwisho wa siku Utawala wa Gaddafi ukaanguka
Kilichofuatia baadae nchi haikutawalika tena,uasi ukawa mwingi na machafuko ikawa sehemu ya maisha ya kila siku ya Libya
Watu ambao walikuwa hawajui kulipa bill za maji au umeme,watu ambao walikuwa wanaingiziwa gawio kwenye account zao kutoka kwenye uchumi wa mafuta,leo hii hawana amani,wengi wanakufa baharini huko katika jitihada za kueleka Ulaya.
Wananchi jua kwamba nasi ikifikia hatua hiyo ya machafuko,wazungu wataingilia kati ,si kwakuwa wanatupenda ila kwa ajili ya Kuja kuvuna rasilimali za Tanzania
Ndio maana baadhi yetu tunapoamua kuwa mabalozi wa amani tunajua nini maana ya kukosa amani,tunajua si ushujaa kuwa wakimbizi
Kwahiyo tujue kwamba AMANI NI TUNU YETU BASI TUILINDE KWA WIVU MKUBWA
Tunashukuru na kufurahi kuona kwamba kuna members wengi wanatuunga mkono kwenye hii kampeni itakayodumu hadi 31 Dec 2025
Tanzania ni yetu basi tudumishe amani ya nchi yetu
Ni hayo tu!
Hawa wote siyo waTanzania wanaolitakia taifa lao mema?Unapopambana na CCM ujue unapambana na
JWTZ
Magereza
Police
Mahakama
Mgambo
Zimamoto
Uhamiaji
Tiss
Hivyo hauwezi kupambana na CCM sio jambo jepesi
Ww mkuu unatumia hisia Ila Mimi nakupa FactHawa wote siyo waTanzania wanaolitakia taifa lao mema?
Ni hawa hawa watakaoshirikiana na waTanzania wenzao kuwaangamiza makuadi wakubwa nyinyi.
Mtu na akili zako timamu unashindwa kujuwa nini kinaendelea wakati huu?
Huna "FACT" hata moja; hata chembe ndogo tu. Unachouza hapa ni upumbavu mtupu. Inabidi nitumie lugha hiyo kwa mtu kama wewe unayetumia ulaghai kuja hapa kufanya upotofu.Ww mkuu unatumia hisia Ila Mimi nakupa Fact
Kuwa kupambana na CCM unabidi kujipanga hata miaka 5 na sio hizi harakati za tiktok
Huna "FACT" hata moja; hata chembe ndogo tu. Unachouza hapa ni upumbavu mtupu. Inabidi nitumie lugha hiyo kwa mtu kama wewe unayetumia ulaghai kuja hapa kufanya upotofu.
Sudan kuna wazungu; Mali kuna wazungu; Nigeria kuna wazungu; Yemen, kuna wazungu? n.k., n.k.,Wananchi jua kwamba nasi ikifikia hatua hiyo ya machafuko,wazungu wataingilia kati ,si kwakuwa wanatupenda ila kwa ajili ya Kuja kuvuna rasilimali za Tanzania
Wewe usifikiri huwa sisomi na kukumbuka misimamo ya baadhi ya watu wanaochangia humu JF. Sikuanza kukusoma leo.Sisi tumeanza hizi mambo kitambo mpaka tukawa tunafatiliwa na CCM .
Sisi hatuongei MANENO
Hawana huo ujinga😀ILI AMANI IWE ENDELEVU LAZIMA SERIKALI NAYO IKUBALI KUWA INAMAKOSA NA KUYAFANYIA KAZI.MFANO UTEKAJI LAZIMA IACHE.KAMA MTU ANAKOSA AKAMATWE KWA UWAZI NA SIYO KWA KUMTEKA.PIA IPUNGUZE UPENDELEO WA WAZIWAZI KWENYE NAFASI ZA UTEUZI NA KUKUTUMIA RASILIMALI TULIZONAZO KWA UFANISI ILI KUHAKIKISHA KILA MTANZANIA ANANUFAIKA NA RASILIMALI HIZO.
Lakini waliowafanyia uovu waTanzania ni lazima wawajibishwe.Mwisho maridhiano ya kitaifa.
Kwamba watu wakitekwa na kuuwawa tukae kimya tu kulinda amani sio?
View attachment 3515158
My people,
15 - February -2011
Benghazi, Libya
Ghasia zilianza rasmi baada ya Utawala wa Muammar Gaddafi kumkamata mwanasheria anayejulikana kwa jina la Fathi Terbil ambaye alikuwa mtetezi wa haki za binadamu
Baada ya wananchi kujua hilo tukio walikasirishwa sana,na hapo ndipo Maandamano rasmi yalianza viunga vyote vya Libya
Baadae Serikali ilitumia nguvu kubwa kwa kuwapiga risasi waandamanaji,baadae wandamanaji nao wakapora silaha na kuunda vikundi wa uasi dhidi ya Serikali
Kutoka maandamano ikaja kuwa vita ya wenyewe kwa wenyewe, nchi yote ikachafuka hatimaye NATO ikaingilia kati na kufunga anga na kuanza kuwapiga au kuwashambulia askari au wanajeshi wa jeshi la libya,mwisho wa siku Utawala wa Gaddafi ukaanguka
Kilichofuatia baadae nchi haikutawalika tena,uasi ukawa mwingi na machafuko ikawa sehemu ya maisha ya kila siku ya Libya
Watu ambao walikuwa hawajui kulipa bill za maji au umeme,watu ambao walikuwa wanaingiziwa gawio kwenye account zao kutoka kwenye uchumi wa mafuta,leo hii hawana amani,wengi wanakufa baharini huko katika jitihada za kueleka Ulaya.
Wananchi jua kwamba nasi ikifikia hatua hiyo ya machafuko,wazungu wataingilia kati ,si kwakuwa wanatupenda ila kwa ajili ya Kuja kuvuna rasilimali za Tanzania
Ndio maana baadhi yetu tunapoamua kuwa mabalozi wa amani tunajua nini maana ya kukosa amani,tunajua si ushujaa kuwa wakimbizi
Kwahiyo tujue kwamba AMANI NI TUNU YETU BASI TUILINDE KWA WIVU MKUBWA
Tunashukuru na kufurahi kuona kwamba kuna members wengi wanatuunga mkono kwenye hii kampeni itakayodumu hadi 31 Dec 2025
Tanzania ni yetu basi tudumishe amani ya nchi yetu
Ni hayo tu!
Kwa hiyo tuachie kikundi kinachopora, kufira na kuua huku kikihujumu uchumi wa nchi kiendelee tu au una plan nyingine? Vipi na maiti zilizofukiwa pasipojulikana tusiulizie tena? Vipi tutulie tu huku watu wakizidi kubambikiwa kesi za uhaini?