Ertugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 12,935
- 25,457
Bora wao walikuwa wanafaidi keki ya taifa ,tunaweza kuwalaumu ila kwa TZ hakuna kitu ,watu wanatekwa kila kukicha ,keki ya taifa wanakula kina Abdul ,kizhiga na wahuni wachache waliowazunguka.Watu ambao walikuwa hawajui kulipa bill za maji au umeme,watu ambao walikuwa wanaingiziwa gawio kwenye account zao kutoka kwenye uchumi wa mafuta
Unachowaeleza waTanzania ni kuwa ni bora hii hali ya AMANI anayoilinda Samia Suluhu Hassan; kuliko kuhangaikia haki zao; kama kuwa na haki ya kuamua nani awaongoze. Badala yake Samia na Genge lake ndio wajiamulie kuwa wanafaa kutuongoza.Ndio maana baadhi yetu tunapoamua kuwa mabalozi wa amani tunajua nini maana ya kukosa amani,tunajua si ushujaa kuwa wakimbizi
Xiao qui shui soma hapo mwananchi
View attachment 3515158
My people,
15 - February -2011
Benghazi, Libya
Ghasia zilianza rasmi baada ya Utawala wa Muammar Gaddafi kumkamata mwanasheria anayejulikana kwa jina la Fathi Terbil ambaye alikuwa mtetezi wa haki za binadamu
Baada ya wananchi kujua hilo tukio walikasirishwa sana,na hapo ndipo Maandamano rasmi yalianza viunga vyote vya Libya
Baadae Serikali ilitumia nguvu kubwa kwa kuwapiga risasi waandamanaji,baadae wandamanaji nao wakapora silaha na kuunda vikundi wa uasi dhidi ya Serikali
Kutoka maandamano ikaja kuwa vita ya wenyewe kwa wenyewe, nchi yote ikachafuka hatimaye NATO ikaingilia kati na kufunga anga na kuanza kuwapiga au kuwashambulia askari au wanajeshi wa jeshi la libya,mwisho wa siku Utawala wa Gaddafi ukaanguka
Kilichofuatia baadae nchi haikutawalika tena,uasi ukawa mwingi na machafuko ikawa sehemu ya maisha ya kila siku ya Libya
Watu ambao walikuwa hawajui kulipa bill za maji au umeme,watu ambao walikuwa wanaingiziwa gawio kwenye account zao kutoka kwenye uchumi wa mafuta,leo hii hawana amani,wengi wanakufa baharini huko katika jitihada za kueleka Ulaya.
Wananchi jua kwamba nasi ikifikia hatua hiyo ya machafuko,wazungu wataingilia kati ,si kwakuwa wanatupenda ila kwa ajili ya Kuja kuvuna rasilimali za Tanzania
Ndio maana baadhi yetu tunapoamua kuwa mabalozi wa amani tunajua nini maana ya kukosa amani,tunajua si ushujaa kuwa wakimbizi
Kwahiyo tujue kwamba AMANI NI TUNU YETU BASI TUILINDE KWA WIVU MKUBWA
Tunashukuru na kufurahi kuona kwamba kuna members wengi wanatuunga mkono kwenye hii kampeni itakayodumu hadi 31 Dec 2025
Tanzania ni yetu basi tudumishe amani ya nchi yetu
Ni hayo tu!
View attachment 3515158My people,

Libya ni failed stateHyo libya wamefeli sawa shda kubwa ilikuwa kwa gadafi huwenz kufuga watu km kuku wa kisasa.mabadiliko yanakipndi chake yakija hayazuiliki ukizuia matokeo yake unaleta machafuko.tunisia misri walipitia haya mbona hawana vita.vp kenya ghana wamekubali kuleta mabadiliko kwa wananchi na kuongoza cyo kutawala km ccm.
Mazungumzo na nani?Ila tunapendekeza njia ya mazungumzo ndo itumike.
Ulaghai uleule; usiikiri watu wamelaza akili.Refer CONGO, Sudan kusini , Somalia , Libya n.k
Mazungumzo na nani?
Ulaghai uleule; usiikiri watu wamelaza akili.
Nani kakwambia waTanzania wanawasubiri wazungu kutafuta haki zao? Kama wewe unategemea utamaduni wa kiarabu; huo wa kudanganyana na mazungumzo FEKI huku ukivunja haki za wengine usifikiri watu hawalijui hilo.
Hayo "mazungumzo" Samia hajawahi kuyaahidi na kuyatumia kama ulaghai tu wa kuhadaa watu?
Mabadiliko tutayafanya wenyewe; ni kazi yetu wenyewe, na tutaitimiza wenyewe. Hizo porojo za kupotosha watu msifikiri hawajui lengo lake ni nini.
Swali zuri kabisa.Sjasoma content,
ila nikuulize utajifunzaje kwa walio feli?
Jamaa anachukulia mambo kwa urahisi sana.Swali zuri kabisa.
Lakini yeye mwenyewe anafikiri mada yake inakidhi mahitaji ya propaganda potofu anayoieneza.
Hata hana mfano mmoja wa upande wa pili wa mada yake?
Ni nchi ngapi zimekombolewa toka kwa viongozi dhalimu, waovu kama Samia na kuendelea kuwa nchi za kutolewa mfano?
MAZUNGUMZO, ndiyo yaliyoondoa utawala wa Hitler na waovu wengine duniani?