Drax001
JF-Expert Member
- Aug 22, 2017
- 454
- 240
Habari za majukumu wakuu mimi nataka tu share mawazo juu ya jutengeneza game development kwa hapa bongo najua wenye uwezo juu ya hayo mambo kuhusu game wapo wengi tu tatizo hawataki kushare mawazo . mimi ndio nimeanza kujifunza kutengeneza video game kupitia unreal engine sasa naomba mwenye mawazo kuhusu game tuunde Team ili tuweze kushare mawazo juu ya jinsi ya kutengeneza game nijuze kama umekwisha wahi hata kujaribu kutengeneza game na ulitumia engine gani.