mwanaume kikojozi?Huku kwetu ungekuja na dawa za kumshika mpenzi na kumfanya mwanaume achelewe kukojoa....ndio mahala pake na hapa huu uzi ungefika hata page ya mia tano.....
Kukojoa mkojo wa uzazi....mwanaume kikojozi?
Inategemea na mahitaji yako unaweza tengeneza kwa ajili ta aerial photo. Upelelezi Kama vile kulinda mbuga za wanyama pia wireless communication. Kushoot video na mengineo.Sawa mkuu tutajifunza halafu baada ya kuzitengeneza tunafanyia nini ???
Na ndoo maana jukwaa lenye watu wengi ni lile LA mapenzi na Siasa.lakini LA ujasilia Mali na hili LA teknolojia watembeleaji wachache Sana.Huku kwetu ungekuja na dawa za kumshika mpenzi na kumfanya mwanaume achelewe kukojoa....ndio mahala pake na hapa huu uzi ungefika hata page ya mia tano.....
Umenena kweli mkuuHuku kwetu ungekuja na dawa za kumshika mpenzi na kumfanya mwanaume achelewe kukojoa....ndio mahala pake na hapa huu uzi ungefika hata page ya mia tano.....