Ila nyie mmechukua great asilimiaMaisha ya ndoa hayana formula, kila mmoja ana mchango mkubwa kuhakikisha ndoa ina dumu katika amani, furaha na upendo pia... Sio mwanamke tuu bali hata mwanaume ana nafasi kubwa katika kuhakikisha upendo na amani havikauki kwenye nyumba yake
Tunaendelea nayoZa ibada mkuu
DJ sepetu
Safi sana....Utaratibu upo palepale akichepuka hata km nilimuoa Jana anarudi kwao! sasa hivi nategemea kuoa mke wa 3 wengine washarudi kwao.
Ndio mkuu,He!huku upo jf
DJ sepetu
Hiyo ya kusema asilimia kubwa ndo hubomoa sasa... Kila mmoja ana nafasi yake.. Mie nikipewa nafasi ya baba sitaweza na baba akipewa nafasi ya mke hawezi pia.... Kila mmoja ana umuhimu mkubwa katika ndoa yakeIla nyie mmechukua great asilimia
DJ sepetu
Suala ni kwamba kama mwanamke hajaamua ndoa haiwezi vunjika atavumilia yote hata kama mumeweHiyo ya kusema asilimia kubwa ndo hubomoa sasa... Kila mmoja ana nafasi yake.. Mie nikipewa nafasi ya baba sitaweza na baba akipewa nafasi ya mke hawezi pia.... Kila mmoja ana umuhimu mkubwa katika ndoa yake
Kukamilishana kupo ila ukiona ndoa ni nani imara yua mwanamke ni imara and the verse versaHiyo ya kusema asilimia kubwa ndo hubomoa sasa... Kila mmoja ana nafasi yake.. Mie nikipewa nafasi ya baba sitaweza na baba akipewa nafasi ya mke hawezi pia.... Kila mmoja ana umuhimu mkubwa katika ndoa yake