Rebuild
JF-Expert Member
- May 26, 2020
- 3,690
- 7,341
Mzee wa mifumoTujifunze kuwa marafiki kabla ya kutongozana incase plan A imefeli mnaendelea kuwa marafiki.
Mbeleni huko mtu anaweza badilisha mawazo akaona unafaa,akakutongoza yeye.
Mzee wa mifumoTujifunze kuwa marafiki kabla ya kutongozana incase plan A imefeli mnaendelea kuwa marafiki.
Mbeleni huko mtu anaweza badilisha mawazo akaona unafaa,akakutongoza yeye.
Utakua unatumia ulimbo wa fweza , ukitumia hiyo kitu kukataliwa ni ngumu sna, labda ukute kuna mwamba kapanda dau zaidi yako , tena apo inategemea , wote mnaweza kukubaliwa.sijawahi kukataliwa sijui itakuwaje hiyo siku
pia sijawahi kukubaliwa🤣 sijawahi kujaribuUtakua unatumia ulimbo wa fweza
Aweeeeeeee kadanganye wanaosinzia 😜😜pia sijawahi kukubaliwa🤣 sijawahi kujaribu
Mimi natka mmoja tuu sio wengi.Endelea kujaribu utawapata
Yeah vizuri, utampataMimi natka mmoja tuu sio wengi.
Mwanamuziki Shaggy katika wimbo wake wa kutongoza "Boombastic" kuna mstari anasema "And I can take rejection, so you tell me go to hell".Yaani unakuta mtu kukataliwa kunamtia wazimu.
Akishusha sound za kutosha halafu dada amkatae unakuta jamaa achukulii kawaida hiyo rejection.
Anajiona kama mtupu na kudharauliwa kinachofata anaanza kumchukia dada wa watu halafu vijiwekeni anaanza kumsema vibaya ili amshushie dada wa watu hadhi yake.
Muda mwingine unakuta hata dada ingawa hata ulimtongoza anaendelea kukusalimia halafu jamaa anakausha. Hapo jamaa anaona kama amemkomoa manzi kumbe wewe ndio unaonekana boya na manzi anakudharau kwamba you are weak hata ile second thought kuhusu wewe hawezi tena kukupa.
Tusipoteze hadhi zetu za wanaume wa shoka, mwanamke akikutaa endelea kupiaga sound ukiona amzingua kabisa achana naye ila sio kumtengenezea vita na yeye huku ukigeuka kuimba taarabu kuhusu yeye vijiweni.
Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
HeeKukaziwa na demu wa kawaida & kukaziwa na demu ambae kila mtu anaipiga ila kwako kachomoa betri hivi vitu skiageni tu
Aiseee hadi kwa waganga wanawaendea.Kuna wanaofikia mpaka kuwadhuru waliowakataa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Acha tuu yaani huwezi elewa mpaka yakukute. Mie malaya kabisaaa akaniambia mzabzab huna mvuto wa kutomberner[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Sasa angeona kibamia changu sii ndio angecheka mapaka ajikojoleee
Hakika ni kawaida kukataliwa, ukimfanya mshkaji baadae anakuja kuwa mshkaji wa faida.Ukikataliwa huenda unanyimwa ukimwi, unaumia nini kama unanyimwa maradhi makubwa...
Ukikataliwa unatunziwa kibunda chako, yaani mtu anakusaidia kuwekeza sehemu muhimu unaumia nini...
Ukikataliwa usibembeleze, kama anafaa kuwa mshkaji sawa, kama huwezi ondoka.