Tujifunze kuheshimu kukataliwa (rejection)

Eli Cohen

JF-Expert Member
Jun 19, 2023
1,311
4,018
Yaani unakuta mtu kukataliwa kunamtia wazimu.

Akishusha sound za kutosha halafu dada amkatae unakuta jamaa hachukulii kawaida hiyo rejection.

Anajiona kama mtupu na kudharauliwa kinachofata anaanza kumchukia dada wa watu halafu vijiwekeni anaanza kumsema vibaya ili amshushie dada wa watu hadhi yake.

Muda mwingine unakuta hata dada ingawa hata ulimtongoza anaendelea kukusalimia halafu jamaa anakausha. Hapo jamaa anaona kama amemkomoa manzi kumbe wewe ndio unaonekana boya na manzi anakudharau kwamba you are weak hata ile second thought kuhusu wewe hawezi tena kukupa.

Tusipoteze hadhi zetu za wanaume wa shoka, mwanamke akikutaa endelea kupiaga sound ukiona amzingua kabisa achana naye ila sio kumtengenezea vita na yeye huku ukigeuka kuimba taarabu kuhusu yeye vijiweni.

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
 
Ukikataliwa huenda unanyimwa ukimwi, unaumia nini kama unanyimwa maradhi makubwa...
Ukikataliwa unatunziwa kibunda chako, yaani mtu anakusaidia kuwekeza sehemu muhimu unaumia nini...
Ukikataliwa usibembeleze, kama anafaa kuwa mshkaji sawa, kama huwezi ondoka.
 
Hahahah kweli mkuu hahha

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom