DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,291
- 29,485
Sio ujinga ila ni usumbufu kwa huyo anayenyenyekewaKweli kabisa, kumnyenyekea mtu ambaye hana muda na wewe ni ujinga
Tujifunze ku balance shobo. Au ikiwezekana somo la ku balance shobo lifundishwe huko mashuleni.