Tujifunze kitu leo:

tryvenak

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2017
Posts
248
Reaction score
298
Angalia vizuri hii picha!

Hapa ndipo atakapozikwa aliyekuwa Bilionea na Kipenzi cha Watanzania Dr Reginald Mengi.

Shughuli ya Uchimbaji Kaburi inaendelea,Kati ya hao Vijana unaowaona kuna Bilionea unayemjua??

Kuna Mfanyabiashara Mkubwa Tanzania unayemjua?!

Kuna Superstar Mkubwa unayemjua??

Hapana eeeh??

Wanaochimba ni Kapuku ambao hawalipwi chochote,ni upendo tu!

Maana yake hii ikukumbushe,hapa Duniani heshimu watu wote,usibague kwa sababu kila mtu ana umuhimu katika Maisha yako!
Usimdharau Mtu ambaye hana kitu hata Kama Mungu amekupa utajiri Mkubwa kwa sababu hutomwona tajiri akichimba Kaburi lako siku yako ya hesabu itakapofika.
 
Enzi za uhai wake mzee Mengi alitahi kusema."wenye nacho wanaishi kwa amani kwa ridhaa/ruhusa ya wasionacho.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…