Tujiandae kuona watu wakitolewa kafara

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
48,684
149,887
Kutokana na utamaduni wetu wa kinafiki wa kuwalinda wale wanaokalia kile kiti cha enzi kwa kuwaadhibu walio chini yao na kudai wao ndio wanamshauri vibaya mfalme,tutarajie kusikia/kuona vigogo kadhaa wakitolewa kafara katika sakata hilli aliloliibua upya Zitto na ambalo mara ya kwanza liliubiliwa na Mange.

Unaweza kuta hawa wadogo hawakuwa na sauti yoyote na huenda hata ushauri wao kama walioutoa haukusilizwa na wengine hapa interest yao itakuwa ni kushika bango kuwakandamizi hawa wasaidi wa mfalme ili waondolewe na wao wapate nafasi za kuteuliwa tu.

Hata huko mjengoni inaweza kuwa ni marufuku kumtaja mfalme katika hili sakata kama litajadiliwa huko sasa ama siku zijazo na ukimtaja tu unaweza hata fukuzwa ila kwenye kumsifia hata muda wa kuongea pale mjengoni unaweza ukaongezewa.

Yaani sisi ni watu wa ajabu sana katika hii dunia.
 
Ni wewe tena! Angusha kimombo mwana, huwa unanikosha sana.
 
Back
Top Bottom