[h=5]Ni nini kifanyike ili kuwajengea vijana wa kitanzania tabia ya kufanya kazi za kujitolea. Mfano; kijana amemaliza form four anasubiri matokeo, wakati huu anaweza kutumika, kwani hii ni nguvu kazi kama ikitumika vizuri itakuwa na manufaa kwa taifa, kumbuka hizi ni nguvu zipo zaweza kutumika au kuziacha.
[/h]
[/h]