Tujazane yanayotokea mtaani kwenu

Tujazane yanayotokea mtaani kwenu

JJ10

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2014
Posts
282
Reaction score
133
Kipindi tulichopo sasa ni kipindi ambacho kampeni zinaendelea kwa ajili ya uchaguzi mdogo. sasa kuna mengi yanayojiri kwenye hizi kampeni'' huku mtaani kwetu mambo niliyoyashudia ni;

1: Kuvunjwa kwa kioo kwa gari ya matangazo ya CCM' ilipigwa na jiwe.

2: Kuzomewa kwa wogembea wa CCM pamoja na mtu yeyote ambaye amevaa sare za CCM au gari yoyote yenye bendera ya CCM hasa yale ya matangazo.

3: UKAWA wakipita watu wanapiga miruzi na kuwashangilia

Hapo mtaani kweni nini kilitokea au nini kinaendelea?
 
hapa mtaani kwangu kuna kigodoro, wazaramo wanamtoa mwali!!
 
Huku kwetu mida hii kumezuka ugomvi mkubwa sana...vijana wawili wanapigana wakigombania pilau kwenye hitima........

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Mtaani kwetu kuna fundi redio kapigwa vbaya kwa kile kinachodaiwa kukaa na vifaa vya watu muda mrefuuuuu
 
Rafiki yangu amefumaniwa na mke wa mtu akipiga papuchi
 
Hii comedy nayo. Haya, ebu tiririkeni, hapa kwetu nasikia tu limziki mpaka mwisho toka ka-pub fulani, yaani hapakaliki humu ndani! Siasa hamna hapa, samahani mleta uzi ulitegemea mambo ya serikali za mitaa.
 
huku kwetu chama cha masela wanatuletea fujo na nyimbo zao
 
Huku kwetu kuna mtu kafunga mwaka kawachinja bata wa mama ake wote 45 na kuwatumbukiza chooni......anaulizwa kwanini kawachinja eti anadai walikuwa wanamuangalia kwa jicho la husda.ndio maana kawachinja wote mpaka watoto wao na kuwadumbukiza chooni.
 
mtbni kwetu kuna jamaa kachoma moto t-shirt ya uhuru baada ya kukuta kaulimbiu ilyoandikwa kwe t-shirt ni tofout na ile iliyoandikwa kwa mabango ya uwanja wa uhuru
 
Huku kwetu kuna mtu kafunga mwaka kawachinja bata wa mama ake wote 45 na kuwatumbukiza chooni......anaulizwa kwanini kawachinja eti anadai walikuwa wanamuangalia kwa jicho la husda.ndio maana kawachinja wote mpaka watoto wao na kuwadumbukiza chooni.

Hahahaha hatari!!
 
Kuna jirani kanunua video chogo.Tumejikusanya sebuleni kwake tunaangalia muvi mpyaaa "Coming to America"!
 
Hii comedy nayo. Haya, ebu tiririkeni, hapa kwetu nasikia tu limziki mpaka mwisho toka ka-pub fulani, yaani hapakaliki humu ndani! Siasa hamna hapa, samahani mleta uzi ulitegemea mambo ya serikali za mitaa.
umejuaje?
 
Hapa mtaani kwetu kapita binti mmoja mkali sana hapa na alhamdulilah nimejipatia namba ya simu , sasa hapa naanza mikakati kabambe..
 
Back
Top Bottom