Tujaribu kuhusu COVID-19

Tujaribu kuhusu COVID-19

kelvin miho

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2016
Posts
281
Reaction score
134
MUHIMU KUHUSU COVID-19 (CORONA)

Najaribu tafakari mengi juu ya hili janga la kitaifa ili hali tu wakuu wa vitengo hawjalitamka kwamba ni la kitaifa anyway tujaribu changanua baadhi ya mambo hapa.

> Utaenda sokoni kutumia pesa na pesa yawezekana umeipata kwa mtu mwenye maambukizi ya Covid19 so chain yake itaongezeka mara dufu

> Dereva wa magari maybe gari imeharibika pahala umemuita fundi akurekebishie atajaribu itest kashika usukani maybe ana maambukizi maana hake nawe driver utahusika.

> Traffic polisi utadai driver licence kwa driver ataitoa huku hujui ana maambukizi au lah maana yake nawe upokee vimelea kupitia licence

> Mafundi simu na compyuta nanyi jitahadharini kwa maana nanyi wateja wenu hamjui wakoje kiafya.

> Also bodaboda unavopanda lazma ushike kiti so maybe alopanda mwanzo alikuwa muathirika. Also upate vimelea!

> Daladala pia unavopanda lazima uguse mlango au bomba la kujishikiza je wajua wangapi wameligusa?

> Kusalimiana kwa mikono ni jadi yetu haswa wanyakyusa so tujihadhar!

> Kuna wale wazee wa naomba nipige picture & kuomba simu upige kisa huna salio & not mtakua mumegusa kitu kimoja bila kujijua mu salama au lah

IN FACT NIMECHAMBUA MACHACHE KULINGANA NA AKILI YANGU VILE INAWAZA.

My fault
Serikali ijihadhari kutoa elimu maradufu kuhusu huu ugonjwa kwa maana tunauchukulia kiurahisi. In all tuombe mungu kwa hili taifa changa kiuchumi.

Option: Nawa mikono na sabuni ikaushe na kitambaa kikavu pindi uhisipo kugusa eneo lililoguswa na wengi

Tujihadhari kuazimana nguo na vitu vingine!

Lakini pindi uonapo dalili nyingi usizozielewa mwilini mwako wahi kituo cha afya, iwe MAFUA, CHAFYA, KICHWA KUUMA, MISULI KUUMA NA KUCHOKA.

NI HAYO TU MACHACHE
KELVIN MIHO...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
solution hapa ni kujifungia ndani mpk ugonjwa uishe huku ukiwa unakula faida na hakuna pesa unayoiingiza, ugonjwa ukiisha unarudi tena kitaani kuanza mwanzo
 
Back
Top Bottom