Tujage lolo.....(mida ya lunch)....!!!

Pilau,ndizi,mshikaki,ndizi,na kuku duhhh kweli mwili.haujengwi kwa matofali!
 
Ukinywa na pepsi au coca cola ya moto lazima ulipuke mzee maana ilo ni bomu.
 
Kwa milo ya namna hiyo ndomana mabango ya nguvu za kiume yamejaa huko dar,pigeni misosi kama hii mpate Afya bora[emoji116]
 
kwa ngosha original hicho akipata ni kuchangamsha mdomo tu kasha anauliza mbona chakula hakiletwi !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…