Nitachangia kwenye kipengele hiko.Je! kuoa kuna uhusiano na "kutoka" kimaisha ama kuzidi kuporomoka kimaisha?.
Mf. Ukioa kabla ya kujenga hautoweza kujenga tena ama itakuchukua muda kujenga ukilinganisha na ukiwa "single".
Nitachangia kwenye kipengele hiko.
Hii hutegemea sana na mke au meme utakaye muoa au kuolewa naye.
Unaweza ukawa hauna direction ya maisha lakini ukaoana na mwenza mwenye mawazo na juhudi za maisha hatimaye anakubadili na kuwa mwenye 'kutoka' na kuoa kwako inakuwa chanzo cha 'kutoka'.
Lakini pia unaweza ukawa na direction, then ukaoana na mwenza asiye na malengo wala direction hapo atakupoteza na utajuta kufunga ndoa.
So there is no formular katika hilo, but wengi wao hufanikiwa kimaisha wanapofunga ndoa.
Ntonga.Katika maisha ya sasa kuoa umekua ni mtihani mkubwa Sana ndoa ni gharama!! Kuna vitu viwili lazima view sawa kabla hujavuta jiko!
1) KIPATO cha kuweza kukabiliana na mikiki mikiki ya harusi kuanzia mahari hadi ndoa yenyewe!! Tatizo linalotukumba vijana wa sasa ni kipato! Na haya yanachangiwa Sana na wazazi wa wasichana na wasichana wenyewe! Hadi msichana akubali kua na wewe umuoe basi umeshapita kwenye matanuru mengi!! Kama kuwa na kipato cha kumuwezesha muolewaji kuishi bila shida!! Mfano Kazi nzuri gari nk!! Sasa ukimpata huyu msichana nae akubali vigezo vyake umridhishe inakuja swala la mahari!! Hapo ndio wazazi wake wanashindilia nyundo Yao utasikia bila milioni 4 hatoki hapa!! Hapo macho yanakutoka!! Mshahara wa laki Saba vip utaitimiza hio hela lini!? Sasa baada ya yote gharama za harusi michango na Kila kitu harusi imekamilika tayari bwana harusi umekonda!! Bado sasa ujitahidi kummiliki huyo mke na vishawishi vya dunia hii! Mara iPhone 5 Mara galax imetoka sijui kuna mchango rafiki yangu anaolewa mara hivi. Vijana wengi wakiyafikilia hayo basi wanaona bora wajisemee tu bado najipanda ila kiukweli Kama Mtu hujajitoa Kabisa huwezi kuoa ni bora uanzishe jengo kbs! Maana ndoa za siku hizi mitihani Sana!! Bado unamleta Mtu kwako na hauli peke yako!
Sio sahihi hata kidogo.Ndibalema well said.
Kwa mantiki hiyo, vijana wanakataa kuoa kwa kisingizio cha kusubiri maisha si sahihi.
Nini ushauri wako?