The introvert JF-Expert Member Joined Sep 15, 2023 Posts 1,118 Reaction score 2,228 Aug 12, 2025 #1 Wanajukwaa habari za asubuhi. Leo naomba tudiscuss kiundani kuhusu tungo hizi tata 1.MSHAHARA WA DHAMBI NI MAUTI 2.KILA NAFSI ITAONJA UMAUTI 3.WAZURI HAWAFI 4.KIFO NI KIFO TU Karibu kwa mchango wako wa mawazo
Wanajukwaa habari za asubuhi. Leo naomba tudiscuss kiundani kuhusu tungo hizi tata 1.MSHAHARA WA DHAMBI NI MAUTI 2.KILA NAFSI ITAONJA UMAUTI 3.WAZURI HAWAFI 4.KIFO NI KIFO TU Karibu kwa mchango wako wa mawazo
Red black JF-Expert Member Joined Nov 29, 2019 Posts 11,858 Reaction score 36,538 Aug 12, 2025 #2 Kifo ni fumbo
Daudi1 JF-Expert Member Joined Dec 14, 2013 Posts 14,563 Reaction score 22,837 Aug 12, 2025 #3 Hizo sentensi mbili za mwanzo zina utata gani? Ni kweli kila nafsi itaonja mauti
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 359,869 Reaction score 828,385 Aug 12, 2025 #4 The introvert said: Wanajukwaa habari za asubuhi. Leo naomba tudiscuss kiundani kuhusu tungo hizi tata 1.MSHAHARA WA DHAMBI NI MAUTI 2.KILA NAFSI ITAONJA UMAUTI 3.WAZURI HAWAFI 4.KIFO NI KIFO TU Karibu kwa mchango wako wa mawazo Click to expand... Mficha uchi kifo humuumbua
The introvert said: Wanajukwaa habari za asubuhi. Leo naomba tudiscuss kiundani kuhusu tungo hizi tata 1.MSHAHARA WA DHAMBI NI MAUTI 2.KILA NAFSI ITAONJA UMAUTI 3.WAZURI HAWAFI 4.KIFO NI KIFO TU Karibu kwa mchango wako wa mawazo Click to expand... Mficha uchi kifo humuumbua