Tujadili.

The Son

JF-Expert Member
Jul 30, 2012
459
58
Baadhi ya wadau wa elimu wanadai serikali ime-introduce mfumo wa majibu ya kuchagua katika mtihani wa taifa darasa la 7 ili ipate wanafunzi wanaojiweza katika shule zake, wazipandishe chati na kuzishusha zile za binafsi. Je, una maoni yapi katika hili?

Natanguliza shukrani.

Nawasilisha.

Karibu.
 
baadhi ya wadau wa elimu wanadai serikali ime-introduce mfumo wa majibu ya kuchagua katika mtihani wa taifa darasa la 7 ili ipate wanafunzi wanaojiweza katika shule zake, wazipandishe chati na kuzishusha zile za binafsi. Je, una maoni yapi katika hili?

Natanguliza shukrani.

Nawasilisha.

Karibu.
kwa hli hapahakuna chakupandisha chati wala kushusha chati hapa ni kuiporomosha elimu ya kibongo tuu kwani wanaosoma shule za serikali na binasfi wote ni wanafunzi na wanahitaji elimu bora serikali haipaswi kuweka mkakati wowote wa kushusha kiwango cha watu flani au kushusha kiwango cha watu flani ni ujinga tuu, na sio weredi na utendaji mwemaa.
 
Back
Top Bottom