Tujadili Tamthiliya ya Sultan

Una uhafidhina wa hali ya juu mkuu. Sauala la kuwa mpenzi wa Tamthilia linahusianaje na jinsia sasa? Kwa taarifa yako tamthilia ya Sultan inatazamwa kwa sasa na kila rika na bila kujali jinsia.
Huwa wanadanganyana eti Tamthilia zipo kwa ajili ya wanawake. Kumbe uongo tu walio wengi wanaiangalia ila wakija huku wanajifanya hawana hizo mambo.
 
Hii kitu mahouse gelo wanaifuatilia sana. Inasaidia nini tafadhali, naomba kujuzwa naskia tu Sultan nikadhan ni yule comedian Idris Sultan
 
Huwa wanadanganyana eti Tamthilia zipo kwa ajili ya wanawake. Kumbe uongo tu walio wengi wanaiangalia ila wakija huku wanajifanya hawana hizo mambo.

Wakisema Jamai Raja sawa naweza kuwaelewa kwa mbaaaali.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom