BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,345
- Thread starter
-
- #61
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] my ribsKama yule jamaa aliyemuuliza habari za namna viwanda vinavyoweza kusaidia usindikaji wa unga Wa mhogo huko kigoma, unajua Rais amejibu nini?
Amemjibu habari za mfalme wa Morocco na kilimo cha dengu. Tutaendelea saa ngapi?
ndio kuna dogo alinifuata ofisini analialia njaa sjui hana kazi nimsaidie.Mara akatoa Samsung Kali mkubwa ivi.baadae kwenye maongezi nikamhuliza io Kali ni being gani!!ananiambia laki7!!nikampa hongera kwa kuna na simu Kali.ila kichwani nikamdisqualify kabisa!!Na ndio vijana wengi wa kitanzania wanavyoishi.sjui ulimbukeni au nini!!-->>UJINGA NA ULIMBUKENI NI SHIDA KWELI,HAKUNA ANAYESHINDWA KUNUNUA SAMSUNG GALAXY / BALI TUNANUA KILE AMBACHO UNAONA KITAKUFAA,KINAHIFADHI CHARGE VIZURI,KINACHOKUPA HUDUMA ZOTE ZA MSINGI NA ZIADA SAWASAWA NA SIMU ZOTE ZA ANDROID HAPA DUNIANI./
โขmitaani tunakutana na choka-mbaya wengi tu,wamebeba magalaxy hasa kwenye madala-dala mara ukipanda kwa dharura ndio utashangaa..../
nilisha wahi tumia tecno h5 nimenunua mpya zile batani za home pale chini zote zikanifia ndani ya wiki moja tangia niinunue hadi Leo Sina hamu na tecno na ndugu yake huwaweiMweeh sio kwakuichukia huko
***nilisha wahi tumia tecno h5 nimenunua mpya zile batani za home pale chini zote zikanifia ndani ya wiki moja tangia niinunue hadi Leo Sina hamu na tecno na ndugu yake huwawei
Cm ni iphone tu
siokwelikwani apps si unadowload tuu auMkuu simu zinabadilika application mara kwa mara kukaa na simu miaka mingi nayo ni kujirudisha nyuma .
Iko na speed sana,,, kulinganisha na bei ubora wa simu ,,, ila nachokiona wanaocomment upupu kuhusu techno ndo hao hao watumiaj mana jiuliz n smart phon inayoongoza kuuzwa dar?? Na zinatoka kila simu aina mpya ...hao wanunuz wako nazo wapi?? Wanakunia nazi ama??Unayo mkuu, unaionaje unaifurahia? Vp speed yake
Very strategic nimeipenda hiyo...Kweli ni simu nzuri ila matumizi yake ni mwaka mmoja baada ya hapo kila kitu kimechoka betri, camera na speed hamna full ku stack. Simu za tecno sio mbaya ila hazina durability baada ya mwaka inakuwa spana mkononi. Mi natumia huawei mate 7 toka 2014 haijawahi sumbua chochote na nafikiria kununua tena smartphone 2020 (baada ya miaka sita) sio nitumie laki tano kununua simu ya mwaka mmoja
Hapana ndugu wewe unatumia maneno ya vijiwen kuhusi tecno mimi nina tecno phantom n9 tangu 2013 hadi sasa n haijwahi nisumbua kwa lolote.Kweli ni simu nzuri ila matumizi yake ni mwaka mmoja baada ya hapo kila kitu kimechoka betri, camera na speed hamna full ku stack. Simu za tecno sio mbaya ila hazina durability baada ya mwaka inakuwa spana mkononi. Mi natumia huawei mate 7 toka 2014 haijawahi sumbua chochote na nafikiria kununua tena smartphone 2020 (baada ya miaka sita) sio nitumie laki tano kununua simu ya mwaka mmoja
Endelea kukaa na simu ya mwaka juzi wakati wenzio wapo kwenye matoleo mapya. Simu si kitu cha kukaa nacho miaka mingi km gari mwaka mmoja unatosha.siokwelikwani apps si unadowload tuu au
Ilimaliza mwaka?nilisha wahi tumia tecno h5 nimenunua mpya zile batani za home pale chini zote zikanifia ndani ya wiki moja tangia niinunue hadi Leo Sina hamu na tecno na ndugu yake huwawei
Imalize wapi wiki haijaishaaIlimaliza mwaka?
Kuna update mkuu, nai update tunakuwa sawaVery strategic nimeipenda hiyo...
Ila
Hadi mwakani mwezi ka huu kutakuwa na inventions nyingi ktk simu zimefanyika na wawezaona yako imepitwa na wakati.
Nmetumia Phantom A ya 2013 ilipofika 2014 ilikuwa imechoka kweli kweliHapana ndugu wewe unatumia maneno ya vijiwen kuhusi tecno mimi nina tecno phantom n9 tangu 2013 hadi sasa n haijwahi nisumbua kwa lolote.