The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,151
- 20,065
Mimi heri nitumie nokia ya tochi sio tecno, nikiona hilo jina tu tumbo la kuhara linaanza.Neno tecno tu sio lakutaja kwenye kadamnasi
Mimi heri nitumie nokia ya tochi sio tecno, nikiona hilo jina tu tumbo la kuhara linaanza.Neno tecno tu sio lakutaja kwenye kadamnasi
Kiepe yaiKuliko ninunue simu ya tecno bora Hiyo hela nikale viepe yai na Mount dew ya baridiiiiiiiiiiiiiiiiiiii na watoto wazuri wa pale chuo cha IFM

Umefilisika kimawazo.Kuliko ninunue simu ya tecno bora Hiyo hela nikale viepe yai na Mount dew ya baridiiiiiiiiiiiiiiiiiiii na watoto wazuri wa pale chuo cha IFM
Huu mfano kiboko.Akija huyu ataweka Data mpaka mtamchukia na TECNO zenu![]()
![]()
![]()
Mkwawa na Tecno ni sawa na Magufuli na Sifa za Kijinga
Typing error. Nilimaanisha tecno.Hiyo ndio aina gani ya simu mkuu? Au brand mpya imetoka?
Hiyo mada inaendanda na jukwaa hili, kwanini unatoa majinu ya kipunga punga. Watu kama wewe ndio mlioharibu hadhi ya jukwaa la tech. Ningekuwa mod ningekupa BAN ya mwaka mmoja,uendezako fesibuku uka like picha.Ipo fresh mkuu ina kitanda, nyumba vyakula nk. Hutojuta mkuu
Mweeh sio kwakuichukia hukoKuliko ninunue simu ya tecno bora Hiyo hela nikale viepe yai na Mount dew ya baridiiiiiiiiiiiiiiiiiiii na watoto wazuri wa pale chuo cha IFM
Bei gani?Ni simu nzuri sana internet ipo faster Ram GB 4 camera megapixel 21 ni simu ya hali ya juu sana hongereni techno kwa mapinduzi ya android
Pia chaja yake ina vichwa viwil ,, kwa meno matatu na meno mawil...chaji yake inajaza haraka kuliko chaji nilizowah tumia na inakaa na chaji mno....halaf n portable ....nzur sana hii simu.....inakamera mbili nyuma moja ya kupiga nyingine inaedt hapo hapoNi simu nzuri sana internet ipo faster Ram GB 4 camera megapixel 21 ni simu ya hali ya juu sana hongereni techno kwa mapinduzi ya android
Acha kufananisha tecno na vitu vya kijinga wewe hapa tunaongelea tecno siyo ccm
Laki 5 na 90 valentinaBei gani?
Unayo mkuu, unaionaje unaifurahia? Vp speed yakePia chaja yake ina vichwa viwil ,, kwa meno matatu na meno mawil...chaji yake inajaza haraka kuliko chaji nilizowah tumia na inakaa na chaji mno....halaf n portable ....nzur sana hii simu.....inakamera mbili nyuma moja ya kupiga nyingine inaedt hapo hapo
Akija huyu ataweka Data mpaka mtamchukia na TECNO zenu![]()
![]()
![]()
Mkwawa na Tecno ni sawa na Magufuli na Sifa za Kijinga

yesuAkija huyu ataweka Data mpaka mtamchukia na TECNO zenu![]()
![]()
![]()
Mkwawa na Tecno ni sawa na Magufuli na Sifa za Kijinga
dharau hii jamaniNeno tecno tu sio lakutaja kwenye kadamnasi
Nadhani yatakuwa kule PhantomMakao makuu ya Kampuni ya Tecno ni wapi?
Inauzwa bei gani?Ni simu nzuri sana internet ipo faster Ram GB 4 camera megapixel 21 ni simu ya hali ya juu sana hongereni techno kwa mapinduzi ya android
Kama yule jamaa aliyemuuliza habari za namna viwanda vinavyoweza kusaidia usindikaji wa unga Wa mhogo huko kigoma, unajua Rais amejibu nini?Unajua kwa nn Tanzania ujinga hauishi?... Ni kwa sababu ya watu Kama Hawa.. Mtu kauliza kingine afu unatoa jibu Tofaut kabisa.