Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,535
- 139,842
TIBAIJUKA ANGEFAA ZAIDI KUWA RAISI NCHI HII KULIKO YULE FORM FOUR FAILURESamia hakubaliki sababu ni:-
1. Mwanamke.
2. Mzanzibari.
3. Hana uwezo.
Haya anayajua na ndiyo chanzo cha mashaka yake.
"Endapo kiti cha Rais kitakuwa wazi kutokana na Rais kufariki dunia, kujiuzulu, kupoteza sifa za uchaguzi au kutomudu kazi zake kutokana na maradhi ya mwili au kushindwa kutekeleza kazi na shughuli za Rais, basi Makamu wa Rais ataapishwa na atakuwa Rais kwa muda uliobaki katika kipindi cha miaka mitano..."Mi nataka kuelimishwa katiba yetu inasemaje hiki kipengele, Rais akifariki makamu wa raisi anatakiwa aongoze kumalizia tu muhula au anamalizia na anaanza tena muhula mpya kama Rais samia.
Ahsante mkuu nimeelewa"Endapo kiti cha Rais kitakuwa wazi kutokana na Rais kufariki dunia, kujiuzulu, kupoteza sifa za uchaguzi au kutomudu kazi zake kutokana na maradhi ya mwili au kushindwa kutekeleza kazi na shughuli za Rais, basi Makamu wa Rais ataapishwa na atakuwa Rais kwa muda uliobaki katika kipindi cha miaka mitano..."
Ndivyo inavyoeleza Katiba ya Tanzania ya 1977, kifungu cha 37 (5).
Kwa hiyo haya mengine nadhani ni utashi binafsi.
wanawake wakae nyumbani walee familia.TIBAIJUKA ANGEFAA ZAIDI KUWA RAISI NCHI HII KULIKO YULE FORM FOUR FAILURE
Inferiority ni Inferiority complex 😂😂Inferiority ndo nini ?
Kumbe Katiba haijasema aendelee😄😄😄"Endapo kiti cha Rais kitakuwa wazi kutokana na Rais kufariki dunia, kujiuzulu, kupoteza sifa za uchaguzi au kutomudu kazi zake kutokana na maradhi ya mwili au kushindwa kutekeleza kazi na shughuli za Rais, basi Makamu wa Rais ataapishwa na atakuwa Rais kwa muda uliobaki katika kipindi cha miaka mitano..."
Ndivyo inavyoeleza Katiba ya Tanzania ya 1977, kifungu cha 37 (5).
Kwa hiyo hayo mengine nadhani ni utashi binafsi.
Pia ni pale tuu Rais aliyetoka kabakiza kipindi kisichopungua miaka 3...na makamu wa Rais anayechukua nafasi yake atahesabika kama Naye kahudumu muhula kamili...na kama Rais kaondoka chini ya miaka 3 kumaliza muda wake...makamu wa Rais ataongoza kwa kwa kipindi cha mpito na kuitisha uchaguzi Mkuu...ambao pia na yeye anaweza kugombea, na akishinda huo utahesabika ni muhula wake wa kwanza...so as it stands, Samia ni muhula wake wa kwanza na ndio maana utawala wake unaitwa awamu ya sita."Endapo kiti cha Rais kitakuwa wazi kutokana na Rais kufariki dunia, kujiuzulu, kupoteza sifa za uchaguzi au kutomudu kazi zake kutokana na maradhi ya mwili au kushindwa kutekeleza kazi na shughuli za Rais, basi Makamu wa Rais ataapishwa na atakuwa Rais kwa muda uliobaki katika kipindi cha miaka mitano..."
Ndivyo inavyoeleza Katiba ya Tanzania ya 1977, kifungu cha 37 (5).
Kwa hiyo hayo mengine nadhani ni utashi binafsi.
La jinsia yake sidhani kama ni sababu, la Uzanzibari wake pia sidhani kama inaweza kua sababu. Wabara hatuna historia ya ubaguzi wa kimakabila, Wazanzibari wametapakaa everywhere in this country then why Samia abaguliwe kwa Uzanzibari wake? Hili sio kweli, nadhani hiyo point No 3 ndio inabeba HOFU kwa wote, yeye mwenyewe na chama chake, kibaya zaidi ni historia ya mtangulizi wake, yule jamaa kafanya kazi ya miaka 20 in 6 years of his rein, hilo ndio tatizo kubwaSamia hakubaliki sababu ni:-
1. Mwanamke.
2. Mzanzibari.
3. Hana uwezo.
Haya anayajua na ndiyo chanzo cha mashaka yake.
Ulafi wa madaraka, mtu mwenyewe uwezo Hana, Bado anang'angania madaraka.Mi nataka kuelimishwa katiba yetu inasemaje hiki kipengele, Rais akifariki makamu wa raisi anatakiwa aongoze kumalizia tu muhula au anamalizia na anaanza tena muhula mpya kama Rais samia.