Nilianzisha uzi huu baada ya comment yako fulani, uliposema wabongo hawajui hii kitu.
Ukitaka kujua hii kitu ni real, angalia ndoa ngapi huvunjika wakati watu wako kwenye 40s na 50s. Ni bora kujua mwenzako yuko ktk kipindi gani ili uweze kumuelewa hata kama wewe haujafika huko.

Unajua lifestyle na mabadiliko ya maisha nina wasiwasi siku hizi hii kitu inaanza mapema mno..
na inaathiri sana...
unajua siku hizi magonjwa ya moyo na kisukari na nguvu za kiume yanawakumba watu hata in their twenties?
sasa hili labda nalo limeanza kufuata mkondo huo
na ni true linahusika mno na 'kuvunjika kwa ndoa nyiingi'
so ukilijua ni rahisi kwako ku deal nalo..
thanks kwa kulileta.....
hizi ndo faida za kuwa nyumbandogo yangu enzi zile..lol
'wealth of knowledge' lol