Tujadili kwa manufaa ya taifa ; uchaguzi 2020 twende na Nani na kwa nini ??

M

MAHORO

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2013
Messages
7,519
Points
2,000
M

MAHORO

JF-Expert Member
Joined Sep 3, 2013
7,519 2,000
Nimeona thread nyingi zikimponda huyu na kumsifia yule kuhusu uchaguzi wa uraisi 2020..

nikapata wazo , kwanini tusijadili bila ushabiki wa vyama vyetu , kwa maslahi ya taifa letu kwanza kwani tukikosea kuchagua tunaumia wote ,

Ni Nani anayefaa kutuongoza Tena kwa miaka mongine mitano mbele uchaguzi wa 2020 na kwanini ? Nitatoa majina yanayojitokeza kugombea uraisi kwa vyama kadhaa Ila na wewe urataja wa kwako kama humu hawamo

CCM
1. John magufuli
2. Bernad membe

CHADEMA

1. Tundu Lissu

ACT
1. Zitto
2. Maalim Seif

CUF
1. Lipumba

Mitazamo wangu:

Mimi nàona JPM bado tunamhitaji Sana kwa miaka mingine mingi ijayo, kwakuwa pamoja na kwamba irani ya chama inasisitiza viwanda lakin kajitahidi kuboresha barabara, umeme , Huduma za kijamii, kuwajali wafanyabiashara , ufisadi umeisha, amefufua ndege , anatengeneza reli ya kisasa, maisha mazuri yanakuja tuwe wavumilivu , nk

Je , wewe una mtazamo gani ??
 
K

KARLO MWILAPWA

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2019
Messages
839
Points
1,000
K

KARLO MWILAPWA

JF-Expert Member
Joined Apr 10, 2019
839 1,000
irani* ilani

kwa kuwa mimi si mpiga ramli , basi , yeyote yule ambaye CCM itatuletea, mimi nitakuwa naye. lakin ingekuwa maamuzi yangu pekee yanafaa kumuweka Rais, basi ni SGR, bomba la mafuta ningechagua
 
MAPUMA MIYOGA

MAPUMA MIYOGA

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2013
Messages
3,579
Points
2,000
MAPUMA MIYOGA

MAPUMA MIYOGA

JF-Expert Member
Joined Jan 30, 2013
3,579 2,000
CCM
Mwigulu Nchemba
Magufuli
Membe
 
M-mbabe

M-mbabe

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2009
Messages
8,975
Points
2,000
M-mbabe

M-mbabe

JF-Expert Member
Joined Oct 29, 2009
8,975 2,000
Nimeona thread nyingi zikimponda huyu na kumsifia yule kuhusu uchaguzi wa uraisi 2020..

nikapata wazo , kwanini tusijadili bila ushabiki wa vyama vyetu , kwa maslahi ya taifa letu kwanza kwani tukikosea kuchagua tunaumia wote ,

Ni Nani anayefaa kutuongoza Tena kwa miaka mongine mitano mbele uchaguzi wa 2020 na kwanini ? Nitatoa majina yanayojitokeza kugombea uraisi kwa vyama kadhaa Ila na wewe urataja wa kwako kama humu hawamo

CCM
1. John magufuli
2. Bernad membe

CHADEMA

1. Tundu Lissu

ACT
1. Zitto
2. Maalim Seif

CUF
1. Lipumba

Mitazamo wangu:

Mimi nàona JPM bado tunamhitaji Sana kwa miaka mingine mingi ijayo, kwakuwa pamoja na kwamba irani ya chama inasisitiza viwanda lakin kajitahidi kuboresha barabara, umeme , Huduma za kijamii, kuwajali wafanyabiashara , ufisadi umeisha, amefufua ndege , anatengeneza reli ya kisasa, maisha mazuri yanakuja tuwe wavumilivu , nk

Je , wewe una mtazamo gani ??
ndugu usitulishe tango pori.

- barabara nyingi zilijengwa wakati wa JK.

- biashara kubwa zinafungwa.

- ufisadi ni mkubwa kuliko awamu nyingine zote zilizopita (check CAG reports na kitendo cha fisadi papa Rostam kuwa msemaji mkuu wa chama chetu na ikulu).

- SGR ni kichaa tu atakayeamini kuwa ni mradi wenye manufaa. hivi unajua TAZARA ni SGR pia lakini 90% ya mizigo & abiria ambako reli inapita vinatumia barabara?

mabadiliko October 2020 hayakwepeki ndugu!
 
Graph

Graph

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2016
Messages
2,064
Points
2,000
Graph

Graph

JF-Expert Member
Joined Jul 20, 2016
2,064 2,000
Mtu yeyote atafaa asiwe Kufuli, Lipumba, Lowassa, hao wana matatizo ya akili. Lissu si choice mbaya
 
Lyamber

Lyamber

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2012
Messages
8,697
Points
2,000
Lyamber

Lyamber

JF-Expert Member
Joined Jul 24, 2012
8,697 2,000
Wewe mrundi uchaguzi wa Tanzania unakuhusu vipi?
 
Forum statistics

Threads 1,335,559
Members 512,388
Posts 32,509,509
Top