Elections 2020 Tujadili kwa manufaa ya Taifa: Uchaguzi 2020 twende na Nani na kwanini?

Mvuvi wa Ngadu

Mvuvi wa Ngadu

Member
17
45
Nimeona thread nyingi zikimponda huyu na kumsifia yule kuhusu uchaguzi wa uraisi 2020..

nikapata wazo , kwanini tusijadili bila ushabiki wa vyama vyetu , kwa maslahi ya taifa letu kwanza kwani tukikosea kuchagua tunaumia wote ,

Ni Nani anayefaa kutuongoza Tena kwa miaka mongine mitano mbele uchaguzi wa 2020 na kwanini ? Nitatoa majina yanayojitokeza kugombea uraisi kwa vyama kadhaa Ila na wewe urataja wa kwako kama humu hawamo

CCM
1. John magufuli
2. Bernad membe


CHADEMA

1. Tundu Lissu

ACT
1. Zitto
2. Maalim Seif

CUF
1. Lipumba


Mitazamo wangu:

Mimi nàona JPM bado tunamhitaji Sana kwa miaka mingine mingi ijayo, kwakuwa pamoja na kwamba irani ya chama inasisitiza viwanda lakin kajitahidi kuboresha barabara, umeme , Huduma za kijamii, kuwajali wafanyabiashara , ufisadi umeisha, amefufua ndege , anatengeneza reli ya kisasa, maisha mazuri yanakuja tuwe wavumilivu , nk

Je , wewe una mtazamo gani ??
Lipi la maana alilofanya Magufuli?
 
TANZANIA PATRIOT

TANZANIA PATRIOT

Member
32
125
Hakuna mwingine zaidi ya JPM .. Hatari fire !!
 
S

STEPHANO KIHAGA

Member
6
45
Mimi nachojua MAGU tunamhitaji kwa miaka kadhaaa hata kama kuna maumivu lakini ili miradi kama SGR tuone implementation tunamhitaji sijuii akija rahis mwingine atakuwa na moto gan na sjui kama ataendeleza huo moto
 

Forum statistics


Threads
1,425,153

Messages
35,082,647

Members
538,214
Top Bottom