SeliSelina
JF-Expert Member
- Jun 27, 2014
- 418
- 898
HII NIMEONA KWENYE MOJA YA COMMENT KWENYE FACEBOOK
Wakati mnawashawishi vijana wafanye fujo mliwaita jina la GENZ. Haya vijana wakavimba vichwa wakaiga ukichaa wawakenya bila kujua kwamba wanacho enda kukifanya kitawapelekea madhara
Yule fala Mange Kimambi na washenzi wengine wengineo wanao ishi Ulaya
Wanao ishi maisha yao mazuri wanao tafuta viewers katika akaunti zao wakazidi kuwatia moto vijana maskini vijana hawakujua kama watakutana na mkono mrefu wa jeshi imara la Wanajeshi wa Tanzania
Vijana wakaingia barabarani bila kujua wanaingia kufanya nini.
Maana walitakiwa waingie waandamane maandamano ya amani.
Walitakiwa wabebe mabango yenye ujumbe ulobeba kero zao
Walitakiwa wajue kiongozi wa maandamano yao ni nani
Walitakiwa wajue maandamano yao yataanzia wapi yataishia wapi.
Maskini vijana kwakua washavimbishwa vichwa na washenzi wachache waishio nje za nchi wakaingia barabarani mpera mpera. Wakaanza kukaidi agizo la serikali la kutokuandamana siku ya uchaguzi.
Vijana wakaanza kuvimbisha misuli kwa kuanzi kuharibu miundo mbinu ya kiserikali ambayo ni kwa faida yao wao kimaendeleo.
Wakaanza kuvunja maduka ya watu binafsi pamoja na kuchoma mali za watu binafsi na migahawa
Wakaanza kushambulia mawakala wa usimamizi wa zoezi la upigaji kura.
Wakajisahau kama Azma ya CHADEMA ILIKUA NI KUANDAMANA ILI KUPATIKANE KATIBA MPYA
Wao wakabeba Azma ya Mange Kimambi ambae alishakana uraia wa Tanzania kwa maana sio mtanzania hana uchungu na Tanzania wakabeba azma yake ya SAMIA MUST GO.
Jeshi la polisi halija wapiga vijana sababu ya kua wameandamana kama mtakumbuka vijana walikua wakiona gari za jeshi wanazishangiria wanapiga picha na wanajeshi wana rekodi video kias ilifikia Mange alizidi kuwapotosha vijana kwa kuwaambia kama ameongea na mkuu wa majeshi amemwambia awaambie vijana wasiogope jeshi liko pamoja nao ila jeshi linasubiri wao wakinukishe halafu jeshi ndio litaingia kuwasaidia kumpindua Samia.
Vijana maskini walizidi panda mzuka kwa kuyaamini maneno ya fedhuli Mange Kimambi.
Vijana walienda mbali zaidi wakahamasishana wachome ofisi za serikali na wakatiwa moto kama GENZ waliopo Dodoma waende wakachome bunge
Wakajazwa moto kama waende ikulu wakachukue ikulu yao sababu Samia ameogopa na ameshatoroka nje ya nchi na helikopta ya jeshi.
Vijana walidanganywa kwamba waende airport wakatie moto airport. Muda wote haya mambo yakiwa yanajiri jeshi la polisi liliwadekeza vijana kwa kuwamwagia maji ya kuwasha fedhuli Mange akawapa mbinu vijana kwamba wavae makoti mazito ili maji yasiwaingie mwilini wasiwashwe.
Ilifikia hatua vijana wakatangaza wakiona mtu ana kidole kimejaa wino(ametoka kupiga kura) watamkata kidole hiko
Vijana walijazwa sifa na wakenya wakaanza kuambiwa GENZ wa Tanzania ni wanafunzi wakenya lakini wamemshinda mpaka mwalimu wao(genz wakenya)
Kweli vijana wakazidi kupata sifa
Wanao washawishi wakawa wanachukua video za vijana wanazipost katika akaunt zao akaunt zao zikapata wafuasi wengi na viewers wengi.
Zoezi la GENZ watanzania kufanya vurugu lilidumu kwa muda wa siku3 ambazo genz walijihisi wamebakisha sehemu ndogo tu WATIMIZE agizo la FEDHULI Mange la kumtoa Samia kwenye kiti.
PUNDE SI PUNDE.
Mkuu wa majeshi akatoa tangazo la wito kwa vijana kuwarai waache uharibifu ama jeshi litaingia kufanya kazi yake
Bado Mange Kimambi akawadanganya vijana kama ile ni AI na sio kamanda wa jeshi coz kamanda wa jeshi tayari Ameuliwa na Samia
vijana wakatapa hasira kuskia habari za kifo cha mkuu wa jeshi
Vijana wakajipanga rasmi sasa kwenda kuchoma
IKULU
KUCHOMA MEDIA
NK.
hapo sasa jeshi nalo likasema ENOUGH IS ENOUGH.
Kibao kikageuka. Vijana wakaanza kupewa walicho kua wanakitaka. Wamepewa walicho stahili kukipata.
Watu wanao washawishi wanaanza kulalamika SAMIA anaua raia wanao andamana
Heee imekua ni raia tena sio GENZ?
Imekua ni raia tena SIO WANAFUNZI WA GENZ WAKENYA.
Yale majina yote yakibabe waliyo kuwa wamepewa vijana yalikatishwa bana wakazidi kusema Samia anaua Waandamanaji wasii na hatia.
Tukaambiwa tutume video za ushahidi ili ziende ICC kuonesha mauaji anayo yafanya Samia
Ivi hii ICC haitaki ushahidi wa GENZ Walivyo kua wakiharibu mali za uma icc haitaki ushahidi wa GENZ wakiwakata watu vidole sababu tu wamepiga kura?
Nitaandika barua refu ila itoshe niseme MANGE NA GENGE LAKE WAMEFELI ktk hili cha zaidi vijana wafata mikumbo wapo walio ishia kupata ulemavu wapo walio acha wake zao tayar ni wajane wapo ambao wameishia kuacha simanzi.
Muda huu Mange yupo na familia yake amerika anakula bata batani.
Wahenga walisema. AKILI ZA KUAMBIWA CHANGANYA NA ZAKO.