Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 18,301
- 37,051
Jamii forum ni kisima Cha MAARIFAYes ila 250,000 hiyo ni complete na printer yake Kuna wale wengine wateja wao sio mpaka uwapatie risiti ya karatasi yaan unweza kuwatumia kwenye simu hiyo hauhitaji printer ni system peke yake ambapo bei yake ni 150,000 tu.