Tujadili juu ya matokeo ya wanafunzi waliofukuzwa UDOM kwenye vyuo vyao

PAZIA 3

JF-Expert Member
Jan 30, 2018
1,074
1,857
Baada ya kutoka kwa walaka wa NACTE kwamba wanatakiwa kufanya mtihani wa form 6,juzi kati matokeo yao yalitoka,wengi wamefauru kwa division I na II, je wanaweza kutumia matokeo hayo kujiunga na vyuo vikuu?
 
watakua wanapoteza muda bora wamalizie huo ualimu maana bado mwezi mmoja kuhitimu
 
Back
Top Bottom