Tujadili faida na hasara; PENSION funds may soon be merged

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
48,694
149,920
PENSION funds may soon be merged as the government is finalising the process to reduce their number, the ‘Daily News’ has learnt.

According to the Social Security Regulatory Authority (SSRA), currently the country has seven social security funds--National Social Security Fund (NSSF), PPF Pension Fund, Public Service Pension Fund (PSPF), Local Authorities Pension Fund (LAPF), Workers Compensation Fund, Government Employees Provident Fund (GEPF) and National Health Insurance Fund (NHIF), which offer similar benefits.

For sometimes now, stakeholders have been engaged to air their views on envisaged reduction in number of the social schemes from the current number to either one or two to reduce the costs of pension benefits and operating costs.

The Minister of State in the Prime Minister’s Office (Policy, Parliamentary Affairs, Labour, Employment, Youth and the Disabled), Ms Jenista Mhagama, said her permanent secretary was finalising plans with the stakeholders to reduce the number of funds.

“When everything is completed, I will make it public. But now I can’t reveal exactly time when we are going to have the reduced number of the pension funds,” she said. SSRA Director General Ms Irene Isaka told the ‘Daily News’ recently that they had already done their part since last year regarding the review of the number of the pension funds and submitted the views of the stakeholders to the government for further steps.

Among other recommendations, stakeholders have for sometimes now been proposing that the funds should be merged to form either one or two funds---one for public sector and the other for private sector. The experts argue that costs to operate social security funds are higher except with the Public Sector Pension Fund.

Ms Isaka was quoted saying only the PSPF had low operating costs compared to the others. The high cost of running the other funds is ruining their ability to offer quality services, prompting the SSRA to prepare guidelines to reduce their operating costs.

As of July last year, the funds were directed to spend no more than 10 per cent of their values -- down from 15 per cent

Chanzo:DailyNews
 
Kupunguza kama sio kuondoa kabisa ushindani na kuleta urasimu katika hii mifuko.

Watu wengi kupoteza ajira.
 
Bado safari ndefu. Hivi serikali si huwa inatoa maazimio yanayoenda na muda? Mbona muhagama hajatoa deadline kuwa hadi kipindi gani ndiyo maazio yatakuwa tayari? Kwa hiyo hata kama ni miaka kumi tusubiri tu taarifa. Na pia serikali hiyo mifuko yote ipo kwa ajili yao tu. Mifuko 10 yote hiyo na bado mnawawekea ukiritimba wananchi
 
Honestly, when you go deep down the matter you may realize this might be a wrong move. More than thousands of employees of these funds may end up loosing their job. Multiple pension funds spread risks simply by not putting all eggs in one basket. If you merge funds you are running a risk of having a total collapse. It is an open secret this move is pure politically motivated.
 
Tafadhali badilisheni Katiba ya Nchi. Haya ni sehemu ndogo ya mlolongo wa matatizo ya nchi yetu yanayosababishwa na "mfumo" ambao mhimili wake ni Katiba mbovu ya 1977 (+ na marekebisho yake).

"Tanzania is a country and a people who are continually at the president's mercy"
 
Honestly, when you go deep down the matter you may realize this might be a wrong move. More than thousands of employees of these funds may end up loosing their job. Multiple pension funds spread risks simply by not putting all eggs in one basket. If you merge funds you are running a risk of having a total collapse. It is an open secret this move is pure politically motivated.
Samahani na wewe ni mfanyakazi kwenye hiyo mifuko nini? WafanyakaI wenyewe hata elfu hamsini hawafiki lakini wanaoumia kwa ukiritimba kupitia hiyo mifuko ni zaidi ya mamilioni. Ingekuwa na tija kama kweli ingekuwa inaweza kumsaidia mhusika kwa wakati husika. Leo hii unamiaka 45 unataka uanze kuajiajiri na unajua fika una hela yako sehemu unaambiwa hadi uwe na 60 na nyie wengine mnaona ni sawa tu.
 
GEPF,PPF na PSPF must go!

Shirika kama GEPF hata sijui linafanya nini mjini,linaweza kumezwa tu na maisha yakasonga,

PSPF hii haraka sana iangaliwe ni jinsi gani itaungwa na LAPF,PSPF is technically bankrupt (de facto)

Kwa kuwa yote yanagusa watumishi,merging them sio mbaya,cha msingi ni jinsi ya ku-reconcile benefits za atakayemezwa,ili mafao tarajiwa yasipungue.

Kubwa zaidi,ni vyema madeni inayodaiwa serikali kwanza yalipwe NA yabainishwe ikiwamo lile la UDOM

PPF,GEPF,NSSF pia zinaweza kuungwa NA kuwa shirika moja

NHIF ibaki kama ilivyo,cha msingi waboreshe Huduma zao ili iwezekane kulipia kidogo kidogo kwa M-PESA bima ya afya,

Iangalie jinsi ya kuwafikia wa vijijini na sekta binafsi,

Waboreshe Huduma,inaonekana ni watu wanaopenda kufatwa NA Wateja kuliko wao kuwafata.

Wanaweza kukukata pesa ya bima miaka kumi,lakini hawajakuletea kitambulisho NA wala hawajiulizi mteja huyu yuko wapi,very archaic
 
Samahani na wewe ni mfanyakazi kwenye hiyo mifuko nini? WafanyakaI wenyewe hata elfu hamsini hawafiki lakini wanaoumia kwa ukiritimba kupitia hiyo mifuko ni zaidi ya mamilioni. Ingekuwa na tija kama kweli ingekuwa inaweza kumsaidia mhusika kwa wakati husika. Leo hii unamiaka 45 unataka uanze kuajiajiri na unajua fika una hela yako sehemu unaambiwa hadi uwe na 60 na nyie wengine mnaona ni sawa tu.
No brother, was just thinking beyond the box. Ukiangalia hili swala kirahisi unawezafikiri labda wanataka kupigania ufanisi na maslahi ya wastaafu au beneficiary, ila trust me, they want to pool all the resources in one single basket, and you know what might happen? Tanzania ni nchi yangu, nina ifahamu.
 
No brother, was just thinking beyond the box. Ukiangalia hili swala kirahisi unafikiri labda tunataka kupigania ufanisi na maslahi ya wastaafu au beneficiary, ila trust me, they want to pool all the resources in one single basket, and you know what might happen? Tanzania ni nchi yangu, nina ifahamu.
Asante tuko pamoja kaka. Ndiyo maana toka mwanzo nilisema mifuko yote iliundwa kwa ajili ya serikali na siyo kwa ajili ya kuwasaidia walengwa. Na lengo hasa hii mifuko inatakiwa kuwasaidia kwa asilimia 100 kama wao wanavyojitolea
 
No brother, was just thinking beyond the box. Ukiangalia hili swala kirahisi unawezafikiri labda wanataka kupigania ufanisi na maslahi ya wastaafu au beneficiary, ila trust me, they want to pool all the resources in one single basket, and you know what might happen? Tanzania ni nchi yangu, nina ifahamu.
Nadhani pia bunge liizuie serikali kukopa hovyo hovyo huko kwenye mifuko,mifuko hii ikiungwa itakuwa na pesa ndefu kwenye fuko moja,hii itawatia tamaa wanasiasa kuilazimisha mifuko igharamie ahadi zao za kampeni tofauti NA sasa ambapo inabidi waende mfuko huu na ule mwishowe inabumburuka,

Na kawaida ya political investment huwa zina collapse,ishu inakuja pale mradi husika unapokula hasara,na umelamba pesa ndefu ya mfuko.

PSPF mpaka leo wanaidai serikali mapesa mengi mno na haijalipa,

Upande wa pili, kwa maoni yangu,serikali ime destabilise hii mifuko kiuchumi,idea ya ku merge may be ni kufunika hilo,

Pia,je uwingi wa mifuko unaipa hasara gani serikali? Kama inajiendesha kwa faida?
 
Nadhani pia bunge liizuie serikali kukopa hovyo hovyo huko kwenye mifuko,mifuko hii ikiungwa itakuwa na pesa ndefu kwenye fuko moja,hii itawatia tamaa wanasiasa kuilazimisha mifuko igharamie ahadi zao za kampeni tofauti NA sasa ambapo inabidi waende mfukoni huu na ule mwishowe inabumburuka,

Na kawaida ya political investment huwa zina collapse,ishu inakuja pale mradi husika unapokula hasara,na umelamba pesa ndefu ya mfuko.

PSPF mpaka leo wanaidai serikali mapesa mengi mno na haijalipa,

Upande wa pili, kwa maoni yangu,serikali ime destabilise hii mifuko kiuchumi,idea ya ku merge may be ni kufunika hilo,

Pia,je uwingi wa mifuko unaipa hasara gani serikali? Kama inajiendesha kwa faida?
Brother, umehoji maswali mazuri sana, hayo yote ndiyo ukiangalia kwa makini utagundua hii ni wrong move. Hatuna responsible political leaders, so its better ku spread risks kwa manufaa ya wastaafu na beneficiaries.
 
Mbona juzi juzi wametangaza ajira za WCF au wanataka zife kama za wale 3000?
 
Back
Top Bottom