Tuitizame hii hotuba - Part One

Hilo la GLEMA mahabusu nalo mbona halijakaa sawa, na kwa nini GLEMA asishitaki kama anaona amekashifiwa?

hata mi nafikiri inabidi kumshtaki ili tuone kama kweli kichaa chake ni cha kuzaliwa au cha kujifanyisha
 
Magwanda mlileta hoja kutoboa sikio, Jee, haya majibu ni kweli au?

Magwanda walijidai wanajuwa kupakaza, kwi kwi kwi teh teh teh. Alichofanya huyo ni kujibu yaleyale mapigo, hajaleta jipya ambalo magwanda hawajalianzisha! Kudadaaaaaaaaaaaaaaadeeeeeki.
 
Mkuu una maana mwenyekiti nani? JK

Sijui bwana Lusinde alikua anamaanisha mwenyekiti nani, mi nimeandika tu kile alichokisema.

kuna sehemu alisema ''Ndungu zangu nataka niwaambieni kwa habari ya lugha chafu wote sisi tunazo wala msifikiri hatujui'' sasa sijui alikua anamaanisha yeye na nani maani sidhani kama ccm wote wana hizo lugha chafu, sidhani kama mwenyekiti wa chama, kwa namna ninavyomfahamu, yuko na hizo lugha chafu ambazo bwana lusinde anataka tuamini kwamba ccm wote wanazo
 
PART III HII HAPA:
Lusinde: Ona sera za CCM! Nipigeeeeeeee Nisipigeeeeeeee?

Magamba: Pigaaaaaaaaaaaa

Lusinde: Bendera ya CCM ina rangi ganiiiiiiiiiiiiii????????????? ??

Magamba: Kijaniiiiiiiiiiiiii.

Lusinde: Ukipanda mahindi yanaota rangi ganiiiiiiiiiiiii???????????

Magamba: Kijaniiiiiiiiiiiiii.

Lusinde: Ukipanda mpunga unaota rangi ganiiiiiiiiiiiiii???????????

Magamba: Kijaniiiiiiiiiiiiiiii

Lusinde: Migomba yote ina rangi ganiiiiiiiiiii?????????????

Magamba: Kijaniiiiiiiii.

Lusinde: Piga makofi na vigelegele kwa Chama cha Mapinduzi. CCM Oyeeeeeeeee.

Magamba: Oyeeeeeeeeee.
 

CCM mnajitekenya wenyewe alafu mnacheka wenyewe.
 

aah we kweli great thinker!
 
Lazima utakuwa na matatizo kichwani, au pengine tumbo linakupelekesha. Hakuna mtu wa kawaida anayeweza kushabikia matusi. Una mapungufu sana !!!!!!
 
HIYO HOTUBA NI YA MHE. MBUNGE AU PUNGUWANI FULANI, SITAKI KUAMINI MHE. Lusinde alivuta Bangi kabla hajapanda jukwaani.
 
Nilivyo maliza kuisoma tu hiyo post ya kwanza ya uzi huu, nilishawishika kubonyeza kitufe cha REPORT ABUSE nikiwa na lengo la kumshitaki mwanzisha uzi kwa kuandika maneno yasiyofaa JF jukwaa.....

Kutokana na hotuba hii ya Kibajaj.... kama hajachukuliwa hatua na chama, kwanza kwa kumvua vyeo vyote alivyonavyo ndani ya chama, na pili kumvua uanachama wa CCM ( ingawa wanaogopa kupote jimbo la mtera) basi sasa nitakuwa nimeshawishika kwa asilimia 62% kuwa Wale wazee walio sema CCM inaelekea shimoni walikuwa sahihi.
 

huko mwisho ndio aliharibu zaidi, ninaichapa nita-update soon
 
Hii hotuba naifananisha na ile ya Idd Amin alikuwa anaongea pumba pumba tupu akijisifia ujinga mwisho wa siku aliangukia pua!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…