Hiyo ni dalili ya kufilisika,kudhan kutofautiana na wewe ni kutumwa!
Anyway,na appreciate kazi ngumu uloifanya kuandika hotuba hii,shida yangu ilikuwa ni contradiction na jf rules.
Otherwise,tupo pamoja mkuu!
nashukuru kwamba tuko pamoja.
kuhisi umetumwa hakukutokana na wewe kutofautiana na mimi, ukiangalia post zangu zaidi ya 900 sasa sijawahi kumuuliza mtu kama katumwa au lah na mara zote wapo watu wamekua wakitofautiana na wengine wakiunga mkono.
kwa hili sikutegemea kwa sababu lipo wazi sana, ukisoma humu ndani watu wanasema, sijui kama kweli, aliwahi ku,poromoshea matusi Mh Malecela, kama ni kweli basi kuna udhaifu mahali, mo ninafatilia siasa sana lakini hii ndio kwanza naisikia.
labda kweli ilitokea na kwa sababu za kisiasa labda ilibanwa, matokeo yake ni nini? leo kasimama hadharani mbele ya watoto, katumia dk 15 kutukana tu.
kama tukifichaficha, kama tukijaribu kulainisha maneno kwa sababu yale aliyotumia lusinde, kitu ambacho hata mie naamini, yana ukakasi sana, tutakua hatusaidii. . . wacha tuyaweke wazi, jamii ione, ningependa mwenyekiti wa chama cha kijani aone, ningependa watu wa mtera waone kisha wao wataamua kama anawafaa au lah.
ninataka kuamini mwenyekiti atanishukuru kwa kumsaidia kuweka wazi tabia ya kijana wake!