Elections 2010 Tuitishe Uchaguzi Mkuu mapema?

MMkjj,

Hapa sikuelewi kabisa,

Tuitishe uchaguzi mapema na kuwapa mandate ya nguvu chama tawala? unajuwa upinzani bado wamelala wanavizia 2010?

Unayo habari kwamba kundi pekee waliojiandaa mapema ni la mafisadi ambao wameweka mtandao karibu kila jimbo kuwaangusha wabunge wazalendo?

Au tuseme unatikisa kiberiti kuona kama kina njiti? Wengine tutafikiria umebadili msimamo kwani humuhumu JF tumeshawapoteza wapiganaji kadhaa.

I beg to differ,...
 
Back
Top Bottom