Tuition za siri za 100,000 kwa mwezi st matthews! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tuition za siri za 100,000 kwa mwezi st matthews!

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Kimweri, Jul 30, 2009.

 1. K

  Kimweri JF-Expert Member

  #1
  Jul 30, 2009
  Joined: Apr 16, 2008
  Messages: 3,998
  Likes Received: 1,083
  Trophy Points: 280
  Nina ndugu hapo st.matthews,A level.ameniacha hoi aliponieleza kuwa St.Mathews wanafunzi wanalazimika kulipia laki moja kwa mwezi kwa somo kwa walimu wao(kwa siri shule haijui-kweli??).
  wanafanya kwa siri in such a way kuwa hata hizo fedha hulipwa kupitia account maalumu ya benki ya hao waalimu!(hapa nikachoka kabisa)
  waalimu darasani wanategea hawafundishi vizuri wakijua kuwa mzazi hana jinsi atatoa tu hiyo laki moja ili mtoto wake apate elimu nzuri.

  najiuliza maswali yafuatayo.
  1.Uongozi wa St.Mathews Kongowe Unalifahamu hili?
  2.Kama unalifahamu je ni sahihi?Ada ya nini sasa?wazazi wasio na uwezo wa kutoa hizo laki moja za ziada kwa mwezi watoto wao watafaulu vipi?
  3.kwa nini wazazi hawauambii uongozi wa shule?(nategemea kufanya hivyo)
  4.kuna mzazi aliyewahi ripoti tuition hizi za kifisadi kwa uongozi wa shule?alipewa majibu gani?
  5.kwa mlio na vijana mashule mengine,utaratibu mzima wa Ada vs Tuition ukoje?

  hitimisho:
  nionavyo mie,ufisadi uko sehemu nyingi tu tanzania,kuanzia IKULU hadi chekechea.
   
Loading...