Tuition Tuition Tuition.

Tuition Tuition Tuition.

bulajunior

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2024
Posts
624
Reaction score
895
Ndg mzazi/mlezi / mwanafunzi. Tunakutangazia masomo ya ziada yaani tuition kwa kipindi cha likizo .masomo yatayofundishwa hasa ni sayansi.
ADVANCE
1. Chemistry
-Organic chemistry 1&2 @50,000/=

-Inorganic chemistry 50,000/=
- physical chemistry 100,000/=
2. Biology
-Genetics 50000/=
-Reproduction 50,000=
-Transport of materials in living things 50,000=
#Physics na Maths zinafundishwa walimu wapo na maelekezo zaidi yatapatikana kupitia mawasiliano hapo chini.
Tupo kilosa mjini

Contacts; 0747-487-285
Tuna mwalimu mzuri sana katika somo la chemistry na biology
 
God bless you, weka mabango hasa sehemu zilizochangamka kama Dumila, Msowero kuanzia mtaani na maeneo ya Shule, Mvumi, Rudewa hasa kwa wanafunzi wa Kilosa sec (Kizuboys) na mabango mengine weka hapo hapo kilosa, hasa kipindi Cha pre form one na Pre form five
 
Ndg mzazi/mlezi / mwanafunzi. Tunakutangazia masomo ya ziada yaani tuition kwa kipindi cha likizo .masomo yatayofundishwa hasa ni sayansi.
ADVANCE
1. Chemistry
-Organic chemistry 1&2 @50,000/=

-Inorganic chemistry 50,000/=
- physical chemistry 100,000/=
2. Biology
-Genetics 50000/=
-Reproduction 50,000=
-Transport of materials in living things 50,000=
#Physics na Maths zinafundishwa walimu wapo na maelekezo zaidi yatapatikana kupitia mawasiliano hapo chini.
Tupo kilosa mjini

Contacts; 0747-487-285
Tuna mwalimu mzuri sana katika somo la chemistry na biology
Apa nije kusoma Reproduction maana imegoma kukaa kichwani😂😂
 
Kama wewe ni mwalimu nakushauri Toa hiyo Picha Kwenye Profile yako(Hakuna mzazi anaweza kukuleta mwanae ukiwa unaonyesha tabia za nje kamaa hii)
mapema sana mkuu ushauri mzuri unafanyiwa kazi up on!
 
Physics na Mathematics hujaweka maelekezo na gharama zake, umesema tuwasiliane kwa namba za simu. Mbona Biology na Chemistry imeeleza vema. Kama hakuna mwalimu wa Physics na Mathematics, usitajetaje ujanja. Focus on the subjects or modules with availability of teachers.
 
Walimu wapo mkuu usijari japokuwa sio wenyeweji wa kilosa kwa hiyo kwa condition moja tu ikitokea wanafunzi wenye uhitaji wa masomo hayo kabla ya program yenyewe basi watafundishwa uzuri sana kikubwa piga simu na kuhakikisha unataka kusoma physics na math
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom