Tuition teacher wa cost & management accounting anahitajika.

Tuition teacher wa cost & management accounting anahitajika.

get tutorial material online,and then self teaching ajisomee anapokwama ana consult class mates..how in the earth unahitaji tution for higher learning....may be elimu ya juu is not for you
 
Statement zako zinaonesha huyo kijana ndio wewe.Na kingne huyo kijana sio kichwa wala nini,ni aina fulani ya KILAZA.Yaani mtu ule div 1 ya pc-kunani then "cost n management" ikutoe mchezoni??

ushaambiwa muda wa kutosha wa kusoma hana, Kuna wengine wanasoma na kufanya kazi at the same time...Hata kama uwe kichwa vip you still need enough time kuzinyaka concept, We umeng'ang'ania tu kilaza kilaza...Na hapo ameandika kiswahili angekua ameandika lugha ya malkia?
 
Mkuu dau dogo sana halafu dogo anaonekana kilaza chuo huwezi kutafuta tuition...ongeza dau

embu toa sababu za msingi kwann chuo usiweze kutafuta tuition usiwe unakremisha tu...Assume unaingia darasan saa 11 jioni vipindi ni viwili vya masaa mawili mawili kila siku , So unatoka saa 3 usiku...Unatoka chuo that time na nyumban ni mbali, Istoshe kuna familia inakungoja na kesho Asubuhi kuna kuwahi kazini...Siku nyingine kazi zimebana huji chuo hata siku mbili au tatu umemiss vipindi, Siku pekee ulizonazo ni week end, Uanze kumtafuta classmate mwenzio akuelekeze ilhali naye alipofundishwa alielewa vingine, Si ndo mwanzo wa kulishwa Matango...India watu wanasoma chuo na Tuition wanapiga kama kawaida, Sema bongo mwe! People zinakushangaa kama umejinyea
 
Katika elimu ya juu ukishindwa kujisome ukaelewa ujue unapoteza muda bora huo muda uzalishe pesa na ununue cheti .
Kuna mitaala inaitwa "Competent based education" unapewa subtopic unajisomea..ok unaweza kupata msaada sehemu kukikwama kwa class mate,ndugu,mwalim n.k lakini si iwe formal tution kama unayozamilia...siku hizi ni tofauti na zamani vitabu vyote viko online ,tutorial kibao ...acha uvivu na excuse za familia...mimi nasoma ,nafanya kazi na na familia ...sio nachosoma ni rahisi no ila I know how to navigate and find solution.
Na kukuhakikishi hilo nipatie subtopic zote unazohitaki mwalim ..nitakupatia solution zake ..just list them kisha ni PM
 
ushaambiwa muda wa kutosha wa kusoma hana, Kuna wengine wanasoma na kufanya kazi at the same time...Hata kama uwe kichwa vip you still need enough time kuzinyaka concept, We umeng'ang'ania tu kilaza kilaza...Na hapo ameandika kiswahili angekua ameandika lugha ya malkia?

dah kaka ahsante sana kwa kumjibu coz nilikua hata sijui nianze kumjibu vipi......Mr. Mzumbe na Wun wanaropoka tu kama watoto wa kike bwana waelewe mada kwanza kisha wa comment au wanakula na kulala kwa baba ?? hawajui ugumu wa life ?? (cio siri wamenikera sana). We mtu anafikiri kama kapga div 1 pcm ndo kila kitu. Bila kujua concepts za somo itakua ngumu sana kufaulu ukicheck anaingia evening session anakosa time ku discuss na watu due pilika za maisha hapa na pale.
 
Back
Top Bottom