occipito-frontalis
Senior Member
- May 28, 2017
- 134
- 71
Habari wana jukwaa, jamani kwa hapa Dar wapi wanafundisha tuition vizuri pre form five, Nina dogo kapangwa kwenda five baada ya hizi selection wakati aliomba vyuo, msaada wenu please
Hapana mkuu, hiyo ni discouragement kwa mwenzio, hata akisoma topic mbilimbili kila somo inatosha anakua na mwanga sana akienda shule huyo mtoto anakua na msingi mzuri,, na kuanzia sasa kila kitu kinaezekana japo sasa inategemea ni masomo yapi anenda kuyasoma, kama ni upande wa arts inaezekana, science nako inaezekana japo kuna masomo mengine unakuta yana topic ndefu sana kama Bios, etc..... Hadi sasa zime baki wiki5+ sasa kweli hapo haiezakani nin!!!Kasha chelewa mwez mmoja pre 4m 5 ata soma juu juu tu
Masomo gani anasoma plzHabari wana jukwaa, jamani kwa hapa Dar wapi wanafundisha tuition vizuri pre form five, Nina dogo kapangwa kwenda five baada ya hizi selection wakati aliomba vyuo, msaada wenu please