SUA hakuna huo ujinga wa tuition tuition hadi university!! MUNGU atusaidie yalianza madesa tukasahau vitabu kwa visingizio vya ukata sasa jipu lizidi kuvimba waungwana wahitimu wa UDSM kemeeni hili madogo ndo wana chepuka njia hivyo kaaaazi kwelikweli
J........
Naumia sana, nilianza kuona Open University na sasa UDSM, yawezekana kabisa hili lipo kwa vyuo vya elimu ya juu vyote. Wanajamii naomba sana tupige kelele kukomesha hili. Wakati tunapiga kelele tuangalie yafuatayo:
1. Je tution chanzo chake ni nini?
(a). uhaba wa walimu
(b) Ugumu wa maisha ya walimu
(c) Ukosefu wa ajira kwa Vijana
2. Sera ya elimu ina matatizo
3.Elimu yetu ni utazamishwaji wa mawazo ya wakoloni/ mabwanyenye/ mabepari?
4. Walimu wetu ni wabobevu wa taaluma zao?
5. Msingi wa kuandaa walimu wetu ni bora
6. Je wanafunzi wetu ni wavivu
7. Turuhusu tution kwa walimu bora na sio bora walimu
8. kwa chuo Kikuu cha Dar es salaam
(a). mnalifahamu hilo
(b). tatizo ni nini?
(c). je hao ndio aina ya wanafunzi mnaowadahili?
(d). Mnawahadhili bobevu wa fani mbalimbali nini mchango wao katika hili
Wanajamii elimu ndio msingi wa taifa endelevu tusitegemee wanafunzi wa TUISHIENI waje wajenge taifa letu. Naumia sana.
Tujadiliane
Jana jioni nilikuwa natokea maeneo ya Changanyikeni. Changanyikeni ni eneo lililokaribu kabisa na Chuo Kikuu cha Dar es salaam. Nilikutana na kundi kubwa la wanafunzi wakitembea kwa mguu na wengine daladala pia bajaji. Nilizani wanaandamaa juu ya mikopo, haikuwa hivyo.
Niliamua kuwauliza nini hasa kimetokea, walikataa kuniambia nini hasa kimejili. Niliendelea kudodosa, ndipo nilipopata jibu wanatoka tution (mimi huita TUISHIENI) niliumia sana moyoni, mimi ni mwalimu ninajua madhara ya tution kwa taifa letu. Tokea kuanza kwa tution kuanzia elimu ya msingi na sekondari na sasa elimu ya juu, tumekuwa na wanafunzi wasioweza kufikiri, wasiosoma vitabu, wasiojenga hoja bali kukurupuka, wasiojitambua, wategemezi kinadharia na vitendo, watazamishwaji wa mitazamo na mambo mengine kama hayo.

Pengine hapana sheria ya kuzuia hili lisitendeke (toka Ujamaa ulipokufa) katika mazingira ya ubinafsi - lakini kwa hakika ni kinyume cha maadili.
Jamani kwa kweli inasikitisha sana niko UDSM najaribu kufuatilia suala hili na nimepata baadhi ya majibu kuwa wanaofundisha si walimu bali wanafunzi waliomaliza chuo kikuu na kukosa ajira then wanakuja kuhadaa wanafunzi hapa na kufundisha tuition. Sidhani kama uongozi wa juu unalifahamu hili. Ngoja nifuatilie tena
Sijafanya utafiti kujua ukweli wa taarifa hizo ila UWEZEKANO HUO UPO!
Nimekuwa nikibadilishana mawazo na baadhi ya Waadhiri hapo MLIMANI wengi wanalia UKATA na CHUO KINAENDESHWA KISIASA ZAIDI TOKA MUKANDARA awe VC.
Ina wezekana WAMEBUNI njia ya kujiongezea Kipato.
Nasikia hata DARUSO siku hizi ni kama haipo !
Wenye taarifa za ndani watupatie tuzifanyie kazi !
Mzee hili halina ubishi hata kidogo,kipindi nabukua pale mlimani kuna wanafunzi wa kozi moja walikuja na kuniomba niwafundishe tuition ya hesabu topic ya statistic, nkawahoji sana na mwisho nikwaambia kama mkipata utata njooni nitakusaidieni na siyo kukaa darasani na kuwafundisha tuition.Sasa kama chuo kikuu unasoma tuition na darasa la saba lifanye nini?huyu mleta habari hajasema TWISHENI hiyo ni watu gani, WANAFUNZI WA UDSM, WANAFUNZI WA PRIMARY AU SEKONDARI.
kwani pale chuo kikuu kuna shule ya msingi, labda ndio hao wametoka twisheni, kwa level ya NTA sidhani kama kuna uwezekano na ekweli wanafunzi wafundishwe twisheni kama za shule ya msingi/sekondari. HAIINGII AKILINI @ ALL